Tunaomba wizara husika itutolee ufafanuzi juu ya bei ya ruzuku ya mbolea : Mfano sms hapo chini👇🏾👇🏾
Ndugu XXXXXX Na. ------- umenunua DAP - 50 KG idadi 1 Tsh76701.33 kwa [TFRA-06----1] Kama...
Wakuu,
Msione kila siku napiga kelele mkadhani nazingua, leo naweka baadhi ya screenshot muone majibu ya DAWASA ya kipuuzi na wananchi tunavyolilia huduma utafikiri tunaipata bure!
Pia soma: √ -...
Wadau, hii mitandao ya simu imeona kuna fursa kubwa kwenye malipo ya mtandaoni hasa Kwa kutumia hizi virtual cards. Nimeshangaa Kuona bili ya Dola 17.2 zimekatwa elfu sitini na mbili yaani...
Viongozi wa Serikali Mkoa wa Mwanza ebu angalieni Afya na utu wa wananchi wenu. Hivi kweli Wilaya ya Nyamagana tena Jiji kabisa mmekosa sehemu nzuri ya kuwaweka wafanyabiashara wadogo wadogo na...
Mkandarasi aliyepewa tenda ya kutengeneza barabara ya kilometa 31 ya Geti Fonga-Mabogini-Kahe wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro anasababisha kero kwa wakazi wa maeneo inapopita barabara hiyo...
Habarini wadau.
Ninachangamoto ya kiafya kidogo nipo hospitali.
Sasa nimefika hapa nakuta mambo yamebadirika serikali imeamua kutumia mifumo katika tiba
Sasa changamoto iliyopo ni tatizo la...
Wakuu,
Nishachoka kuja kulalamikia maji hapa, mnatufanya kama watoto tunapewa pipi tumun'unye halafu mnatupokonya. Yaani kama vile sasa hivi tupo kwenye mgao, na maji bado yana harufu mbaya...
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Kipindi cha miezi kadhaa iliyopita mwaka huu, Mimi kama mkazi wa hili eneo, niliandika hapa juu ya Dampo ambalo siyo rasmi lililoanzishwa na Halmashauri ya Mji wa...
Salama ndugu zangu napenda nitoe duku duku langu kwa sisi mawakala wa CRDB.
Kuna utaratibu mpya CRDB Bank wameunzisha kwamba huwezi kumtumia wakala mwezako floats kwa free charge. Nipende...
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo...
Jamani hili jambo limeniuma sana, kuna viwanda viwili vipo sehemu moja, kiwanda cha maji na juice na kiwanda cha kuku vipo Kibaha Visiga karibu na makazi ya binadamu vimekuwa vikisababisha kero...
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo;
1. Huduma za kipesa ( mpesa)...
Na ni waziri wa mipango na uwekezaji, proffesor nzima huyu[emoji22]hivi huwa wanapewa wizara wakati majimboni mwao ni tabu?
Huyu kitila mkumbo ni kama kalitelekeza jimbo lake la Ubungo. Barabara...
Salaam Wanajukwaa,
Naomba kero yangu ifike kwa waziri Jumaa Aweso kilio chetu Wananchi wa Singida, SUWASA inatuua.
SUWASA inatukandamiza, inatuonea, bili za maji za huku kwetu ni mitaji ya Watu...
Juzikati Oktoba 23, 2024 nilipofika eneo la Mti Mmoja - Monduli (Arusha) nikiwa njiani kuelekea Dodoma nikitokea Arusha, niliona jambo la kushangaza sana, nilishuhudia Wanafunzi wa shule wakinywa...
Katika Makutano ya Morocco ambapo Barabara za Ally H.Mwinyi,Mwai Kibaki na Bagamoyo zinapo kutana na Makutano ya Mwenge.
Inapofika mida ya jioni kuanzia saa 10, Trafiki huwa wana tabia za...
Kuna kukatika maji haya maeneo wiki nzima kwa sasa na hakuna taarifa maalum kwa wateja kutoka Mwauwasa,kuna mdau yoyote anajua kinachoendelea?
Kilichopo ni kwamba unaweza stuka ghafla maji hamna...
Jambo la kuzingatia:
Nitatumia DAKTARI kumaanisha wahusika wote wa sehemu za huduma za afya. Pia Nitatumia HOSPITALI kumaanisha sehemu zote zinazotoa huduma za afya
Ujue tumezoea kwenye majeshi...
Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.