Barabara ya Nachingwea-Masasi ni mbovu mno

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
8,596
8,878
Habari wakuu,

Hii barabara ni mbovu sana naomba wahusika wafanyie kazi hata kama ni masika ubovu umezidi na imekuwa kero sana barabara ina mashimo kama mahandaki wabunge wapo wakurugenzi wapo wakuu wa wilaya wapo ni kwamba hawaoni au tafadhali tengenezeni hii barabara.
 
Back
Top Bottom