KERO Uongozi wa Rockcity Mall acheni wizi kwenye machine zenu za parking

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Wakishua123

Member
Aug 10, 2021
6
96
Taarifa iwafikie uongozi wa Rockcity Mall acheni wizi kwenye Mashine zenu za parking haiwezekani msiweke bei ya parking wazi.

Hata kwa kuzibandika kwenye bango ili wateja tujue tunachajiwa kiasi gani na kwa muda gani mtawafukuzisha wateja wanaokuja kutumia hela hapo.

tmp-cam-287395607.jpg
 
Back
Top Bottom