KERO Wakazi wa Bugarika hatuna maji na Mamlaka ya maji Mwanza imeuchuna tu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Jamani eeee tusaidieni kupaza sauti Idara ya Maji hapa Mwanza imekuwa kero maana haijulikani ni mgawo wa maji au la!

Zaidi ya siku 4 hadi 5 hakuna maji Mtaa wa Bugarika na hakuna taarifa yoyote kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA).
 
Back
Top Bottom