Wiki iliyoisha nilifanikiwa kujipenyeza na kuingia kwenye vidhibiti nyeti vilivyokamatwa na Polisi ambavyo kesi zake zinaendelea nikagundua hakuna ulinzi wa aina yoyote na unaweza kutoka na...
Habari Zenu Wakuu.
Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea...
Hawa ndo watengenezaji wa Singida oil na Sunola ambazo zinatengenezwa kwa chemical na sio alizeti kama tunavyoaminishwa.
Nimeitoa huko twitter hii post naona inasambaa kwa kasi ya upepo.
ALERT...
Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na...
Kiukweli Mv Magogoni imechoka imechakaa Ina mwendo wa jongoo inatia aibu sana hii nchi. Nusu saa nzima kutoka Kigamboni hadi Kivukoni. Yani wakati ukipanda unatabasamu unaona naenda paleee mjini...
Kwanza tunashukuru Serikali kwa kutuletea daraja la muda kwa wakazi wa kata ya Mngeta, limetusaidia Sana katika kuepukana na adha ya mto Mngeta hasa hasa Tatizo la Mamba.
Hivi karibuni...
Naandika hapa jamiiforums ili kupata msaada baada ya meneja wa campus daktari Ally Zawadi kushindwa kutusaidia.
BAADHI YA KERO:
1: UBOVU WA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA
Kwa muda sasa, kampasi hii...
Ukiwa unatokea Masaki, kwenye makutano ya barabara za Haile Selassie na Ali Hassan Mwinyi, jirani na Kanisa la Mt. Petro, Oysterbay, Dar es Salaam, pana taa za kuongozea magari. Kwa pembeni, pana...
Kwangu kituo karibu, rahisi na kwa sasa kinachoaminika ni BP PUMA Tangi Bovu.
Nimeenda kuweka mafuta juzi, wakasema mashine ya risiti imegoma. Leo nimeenda tena hapo, bado hawana risiti!
Majuzi...
Hii barabara ni kongwe inatokea pugu mnada wa ng’ombe hadi Gongo la mboto, Mombasa Ukonga, Banana, Majumba sita, Airport hadi Vingunguti.
Baadhi ya maeneo hasa ikinyesha mvua hapapitiki. Maji...
Kwa sasa ni wazi kuna hujuma kubwa ya ujenzi ya uwanja wa ndege wa Mwanza. Nimebahatika kupitia pale kama raia na mlipa kodi wa nchi hii na kuangalia ujenzi ulivyo jengo lile ni kiwango cha chini...
Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania,
DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea...
Wakuu habari za mchana.
Serikali yetu inapambana sana kuwaletea wananchi wake maendelea. Naipongeza kwa kazi nziri.
Pamoja na hayo nna jambo ambalo limenifanya niandike uzi huu. Kuna service...
Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda?
Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa...
Serikali mnajua kabisa jinsi vumbi la makaa ya mawe ilivyo shida kwa wananchi wake mnatuumiza vifua. Vumbi linatembea zaidi ya kilometer 2 kutoka yanapopakuliwa makaa kuingizwa katika meli. Mitaa...
Habari ndugu zangu?
Naomba niseme haya ili wenye mamlaka wawachukulie hatua ikiwemo waziri wa mambo ya ndani na IGP nk.
Ifakara na Lupiro ipo mkoa wa Morogoro.
Iko hivi trafiki wa Ifakara hasa...
RIPOTA PANORAMA
MWENENDO wa mambo katika Sekta ya Bima si shwari baada ya kubainika kuwa Kamishna wa Usimamizi wa Bima (TIRA), Abdallah Baghayo Saqware ameshiriki kuanzisha Chuo Kikuu cha Bima na...
Sina muda wa kueleza sana, nimechoka.
Mmeajiri madaktari vijana wanakaa wanapiga story tu vyumbani badala ya kuhudumia wagonjwa. Watu tumekaa zaidi ya lisaa tunasikia wanachekacheka tu ndani na...
Kwa mara nyingine tena napata wasi wasi mkubwa juu ya ubora wa UDOM.
Wiki hii sasa wanafunzi wengi wa chuo hiki wanahangaika kuthibitisha kwamba wanastahili kuhitimu mwaka huu yaani mwezi huu...
Swali kwa mamlaka husika yenye kusimamia Termanal 3 ya Dar es Salaam, je ni kwanini ndege toka nje zimeshindwa kutua wala kuondoka karibu siku nzima ya jana na hata sasa?
Kuna tatizo gani ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.