Mfumo wa vyama vingi vya siasa bila Mikutano ya Kisasa ni sawa na kuwa katika mfumo wa Chama kimoja.
Nashauri viruhusiwe sasa kwani tumeshavisahau yaani vinavyokumbukwa ni CCM, Chadema na Chaumma...
Licha ya yote hayo leo tena Kambenga aendelea kunyang'anya mbegu za wakulima hadi ikatokea vurugu kubwa kijijini Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa wilaya ya Kilombero wamepofushwa macho na...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma...
Jamani wanaohusika naomba msimamie kwa ukaribu sana mradi wa SGR unaoanza Itingi mpaka Tura, mfatilie malipo ya Wafanyakazi kutolipwa mishahara yao na kunyimwa haki kibao za kikazi
Kubwa zaidi na...
Salaam,
Kwanza nianze kwa kumpongeza Aweso kwa namna anavyopambana kuhakikisha maji yanafika kwa wananchi ili kuyafikia malengo ambayo chama na serikali wamejiwekea.
Licha ya haya mapambano...
Habari wakuu, poleni na mjukumu,
Nimekuja kwenu na malalamiko na humu JF Kuna watu wa aina mbalimbali ambao wanaweza saidia watoto wetu.
Ofisi ya Mikopo chuo cha MUST mpaka sasa haijawaingizia...
Mji wa Sumbawanga ni makao makuu ya mkoa wa Rukwa. Baada ya suala barabara kukamilika kutoka Mbeya mpaka Mpanda kiwango cha lami usafiri umekuwa wa uhakika mabasi na magari mengi yana tumia...
Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe...
Na. Mwandishi Wetu, Kigamboni
Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wilaya ya Kigamboni inalalamikiwa na Mfanyabiashara X kwa kuwatorosha watuhumiwa waliokamatwa na kosa la uharibifu wa Mali na kugeuza...
VIONGOZI WA KITENGO CHA ARDHI JIJI LA MWANZA LINATUUMIZA WANACHI WALALA HOI
Kada wa CCM Abubakar Hassan Self amemuomba Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Kuingilia kati mgogogro wake viwanja na...
Wananchi wilayani Arumeru, wametoa malalamiko yao dhidi ya serikali baada kuuziwa mahindi kilo moja kwa sh. 885.
Baadhi ya wananchi wameshindwa kununua mahindi hayo kutokana na hali ngumu ya...
Habari!
Napenda nielekee Moja kwa Moja kwenye mada husika!
Kuna baadhi ya halmashauri viongozi wake ni warasimu sana kitu ambacho kinashusha ari ya ufanyaji kazi kwa watumishi, mfano serikali...
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke haijaweza kutoa leseni za biashara kwa watu waliolipia tayari tangu wiki iliyopita. Binafsi ninasubiria leseni, hivi karibuni baada ya kufuatilia sana mara ya...
Heri ya mwaka mpya!!
Odo Ummy wakati unatembelea hospital huko Dar bas huku tanga hospital ya mkoa, hospitali ya Bombo ni jipu.
Nieleze kisa kifupi, mwezi ulioisha tulikua na mgonjwa, ni mama...
Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti
==
https://www.jamiiforums.com/threads/msigwa-hakuna-ndege-inayobeba-wanyama-mwenye-ushahidi-alete.2055025/
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.
Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani...
Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa
Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Hassanal Damji iliyoko Bagamoyo tunayo masikitiko makubwa...
Wiki iliyoisha nilifanikiwa kujipenyeza na kuingia kwenye vidhibiti nyeti vilivyokamatwa na Polisi ambavyo kesi zake zinaendelea nikagundua hakuna ulinzi wa aina yoyote na unaweza kutoka na...
Habari Zenu Wakuu.
Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea...
Hawa ndo watengenezaji wa Singida oil na Sunola ambazo zinatengenezwa kwa chemical na sio alizeti kama tunavyoaminishwa.
Nimeitoa huko twitter hii post naona inasambaa kwa kasi ya upepo.
ALERT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.