DOKEZO Kashfa ya Rushwa na Uhaba wa Mafuta: Hatma ya EWURA na Waagizaji wa Mafuta

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Pununkila

JF-Expert Member
Jan 7, 2021
689
1,692
Kikao cha dharura kati EWURA na waagizaji wa mafuta hakijafua dafu baada ya kutawaliwa na shutuma dhidi ya mkurugenzi wa EWURA na waziri wa nishati na jinsi wanavyojaribu mfumo mzima wa bulk procurement na upendeleo na rushwa zinazofanywa kuwapa watu vibali

Wafanyabiashara hao wamemwambia Mkurugenzi wa EWURA hana uwezo wa kutatua mgogoro huo na mgomo huo kwa kuwa malalamiko yao yako kwake zaidi ya mwaka na hakuna kitu amefanya zaidi ya kutoa vitisho

Kikao hicho kilichosusiwa na wengi wa waagizaji mafuta kilikuwa kitoke na suluhu ya mgogoro uliopo wa kuadimika kwa mafuta na mgomo wa kimya kimya wa waagizaji mafuta.

Kwa mara ya kwanza waagizaji mafuta hao wamesema ndani ya kikao kuwa waziri January Makamba ni mtu asiyejua sekta ya mafuta inaendeshwaje na yeye anachowaza ni kupokea rushwa tu bila kufikiria hiyo ni biashara na watu wanataka kupata faida. Moja ya mjumbe alisema ni bora akatafuta biashara nyingine ya kufanya lakini hawezi kutoa $400,000 karibia 1bn TZS kwa ajili ya rushwa ili apewe kibali ambapo faida ya biashara hiyo haifiki hata hiyo 1bn TZS anayotaka apewe.

Tukiondoka kwenye kikao hicho ni wazi kuwa uhaba na kutokuwepo kwa mafuta na kuanza kuuzwa mafuta kwa magendo kumeanza kusambaa nchi nzima na hii ni dalili kuwa tatizo hili linakwenda kuwa sugu na linakwenda kuathiri sana uchumi wa taifa hili.

Waziri Makamba ndiye anayesababisha mgao wa umeme kimya kimya huku kila kukicha anatokea kwenye makamera anasaini mikataba ya kuzalisha umeme hewa. Lakini tunajua kwenye mikataba hii anachofuata na kukitafuta ni rushwa tu na hakuna kingine. Kwenye hili la mafuta kumedhihirisha jinsi ambavyo rushwa anazozitaka ili kutoa vibali vya kuagiza mafuta zinavyoathiri nchi na uchumi.

Swali je? Haya yote ndiyo ambayo mlikuwa mnataka kuwafanyia watanzania? Mlikuwa mnajenga uchumi kwa miaka miwili mitatu nyuma na ukawa imara sana lengo lenu ilikuwa kuja kuuharibu kwa kuwa na waziri wa hovyo kama huyu?

Tunajua Kinana na kundi lake wanamtetea sana kufa na kupona kwa sababu ni wanufaika wa hizi rushwa na ndiyo maana January Makamba hakauki nyumbani kwa Kinana hapo Masaki.

Kinana ni miongoni mwa wanaotisha mamlaka kuwa huyu akitolewa ataleta mpasuko. Hivi Lowassa alishindwa kuleta mpasuko ataleta mpasuko mtu aliyepata kura chache kuliko zote kwenye ujumbe wa NEC? Huyu alifukuzwa uwaziri na Magufuli alileta athari gani? CCM msitake kujibrand kuwa wizi na rushwa ni sifa ya kuwa mwana CCM. Huyu kijana wenu kashindwa kazi na uwezo hana. Dada yake ambaye ndiyo mficha hela za wizi mkuu anaishi maisha ya anasa sana huku hana kazi anayoifanya nalo hili ni la kusubiri? Anatoa wapi hela ya kukodisha ndege binafsi kwenda kufanya ulevi na uhuni Afrika ya Kusini? Anatoa wapi hela ya kukodisha yatch na kundi la wahuni wenzake na kufanya anasa? Hivi mnawaonaje watanzania?

Haya yote yanafanywa mnataka watu wakae kimya na wakisema mnaanza kuwatafuta muwauwe na kuwapa sumu! Kwani mkiwauwa mafuta yatapatikana? Mkiwapa sumu wakafa umeme utapatikana?

Ifike mahali sasa serikali iamue kutoa kauli kuwa mtu huyu ni wao wanamtuma na hakuna haja ya kulalamika kwa sababu kila anachofanya kuanzia kununua mita za LUKU mbovu , kulipa vyura bila utaratibu, kukwapua mabilioni kwenye mikataba REA,kuficha hela Indonesia ni maagizo yao hivyo watanzania wakae walime maharage na mahindi wasihangaike. TUTAWAELEWA

Narudia tena! Yalikuwa ni makosa makubwa sana kuwarudisha hawa vijana kwenye serikali na yakawa makosa makubwa zaidi kumtudisha god father wao Kinana kwenye chama maana madhara yake ndiyo haya sasa. Majitu MAJIZI haya yanawaza kuitafuna tu nchi na hayana huruma na watanzania. Ndiyo maana kuwezi ona wanaongelea athari wanapata watanzania kwa kukosa mafuta kwa kuwa tu waziri hatoi vibali mpaka apewe rushwa

Kuna siku watanzania itafika watalazimika kuingia barabarani na ikifika hatua hii hawatataka waziri mwizi na mla rushwa atoke bali watataka CCM na serikali nzima iondoke kwa kuwa mnatetea MAJIZI haya ya akina Kinana na Janaury
C$p

Pia soma: Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania (TAOMAC) chakanusha uwepo wa sintofahamu kati yake na EWURA
 
Mzee una sound kama Kigogo wa twitter. Hapa bingo ukiwa level ya uwaziri deal dogo kwako ni mil 800. Kwa hiyo mawaziri wote unaowaona hawa wana mapesa ya kutisha kupitia rushwa.

Ila dada yake guardiola bata analokula sio la nchi hii, wajua hata ile kazi kule south ni Rostam ndio ameunganisha nyuzi, dada hana akili za kutisha na waliofanya nae kazi pale mawasilano ya simu wanamjua kama kichwani alikuwa wa kawaida.

Kuna waziri hili deal la dp world kanunua appartment palm village 4 kwa mpigo. Siasa huku afrika inalipa.
 
hii nchi inaliwa vibaya sn
 
Mtaje waziri aliyenunua nyumba palm village tumvue nguo.
 
Mzee una sound kama Kigogo wa twitter. Hapa bingo ukiwa level ya uwaziri deal dogo kwako ni mil 800. Kwa hiyo mawaziri wote unaowaona hawa wana mapesa ya kutisha kupitia rushwa.

Ila dada yake guardiola bata analokula sio la nchi hii, wajua hata ile kazi kule south ni Rostam ndio ameunganisha nyuzi, dada hana akili za kutisha na waliofanya nae kazi pale mawasilano ya simu wanamjua kama kichwani alikuwa wa kawaida.

Kuna waziri hili deal la dp world kanunua appartment palm village 4 kwa mpigo. Siasa huku afrika inalipa.
KIGOGO HUYOO....
Kaja ki vingine.
 
Niliwahi kuona hii Habari miezi kadhaa iliyopita Kipara anavyokula rushwa hili uagize mafuta,nikaipuuza.
Wanamchafua, kigogo ndio zake, hawaelewani kwa mambo yao, kaamua kumkomalia Twetter. Kigogo2014 haaminiki kwa sasa.
 
Kikao cha dharura kati EWURA na waagizaji wa mafuta hakijafua dafu baada ya kutawaliwa na shutuma dhidi ya mkurugenzi wa EWURA na waziri wa nishati na jinsi wanavyojaribu mfumo mzima wa bulk procurement na upendeleo na rushwa zinazofanywa kuwapa watu vibali

Wafanyabiashara hao wamemwambia Mkurugenzi wa EWURA hana uwezo wa kutatua mgogoro huo na mgomo huo kwa kuwa malalamiko yao yako kwake zaidi ya mwaka na hakuna kitu amefanya zaidi ya kutoa vitisho

Kikao hicho kilichosusiwa na wengi wa waagizaji mafuta kilikuwa kitoke na suluhu ya mgogoro uliopo wa kuadimika kwa mafuta na mgomo wa kimya kimya wa waagizaji mafuta.

Kwa mara ya kwanza waagizaji mafuta hao wamesema ndani ya kikao kuwa waziri January Makamba ni mtu asiyejua sekta ya mafuta inaendeshwaje na yeye anachowaza ni kupokea rushwa tu bila kufikiria hiyo ni biashara na watu wanataka kupata faida. Moja ya mjumbe alisema ni bora akatafuta biashara nyingine ya kufanya lakini hawezi kutoa $400,000 karibia 1bn TZS kwa ajili ya rushwa ili apewe kibali ambapo faida ya biashara hiyo haifiki hata hiyo 1bn TZS anayotaka apewe.

Tukiondoka kwenye kikao hicho ni wazi kuwa uhaba na kutokuwepo kwa mafuta na kuanza kuuzwa mafuta kwa magendo kumeanza kusambaa nchi nzima na hii ni dalili kuwa tatizo hili linakwenda kuwa sugu na linakwenda kuathiri sana uchumi wa taifa hili.

Waziri Makamba ndiye anayesababisha mgao wa umeme kimya kimya huku kila kukicha anatokea kwenye makamera anasaini mikataba ya kuzalisha umeme hewa. Lakini tunajua kwenye mikataba hii anachofuata na kukitafuta ni rushwa tu na hakuna kingine. Kwenye hili la mafuta kumedhihirisha jinsi ambavyo rushwa anazozitaka ili kutoa vibali vya kuagiza mafuta zinavyoathiri nchi na uchumi.

Swali je? Haya yote ndiyo ambayo mlikuwa mnataka kuwafanyia watanzania? Mlikuwa mnajenga uchumi kwa miaka miwili mitatu nyuma na ukawa imara sana lengo lenu ilikuwa kuja kuuharibu kwa kuwa na waziri wa hovyo kama huyu?

Tunajua Kinana na kundi lake wanamtetea sana kufa na kupona kwa sababu ni wanufaika wa hizi rushwa na ndiyo maana January Makamba hakauki nyumbani kwa Kinana hapo Masaki.

Kinana ni miongoni mwa wanaotisha mamlaka kuwa huyu akitolewa ataleta mpasuko. Hivi Lowassa alishindwa kuleta mpasuko ataleta mpasuko mtu aliyepata kura chache kuliko zote kwenye ujumbe wa NEC? Huyu alifukuzwa uwaziri na Magufuli alileta athari gani? CCM msitake kujibrand kuwa wizi na rushwa ni sifa ya kuwa mwana CCM. Huyu kijana wenu kashindwa kazi na uwezo hana. Dada yake ambaye ndiyo mficha hela za wizi mkuu anaishi maisha ya anasa sana huku hana kazi anayoifanya nalo hili ni la kusubiri? Anatoa wapi hela ya kukodisha ndege binafsi kwenda kufanya ulevi na uhuni Afrika ya Kusini? Anatoa wapi hela ya kukodisha yatch na kundi la wahuni wenzake na kufanya anasa? Hivi mnawaonaje watanzania?

Haya yote yanafanywa mnataka watu wakae kimya na wakisema mnaanza kuwatafuta muwauwe na kuwapa sumu! Kwani mkiwauwa mafuta yatapatikana? Mkiwapa sumu wakafa umeme utapatikana?

Ifike mahali sasa serikali iamue kutoa kauli kuwa mtu huyu ni wao wanamtuma na hakuna haja ya kulalamika kwa sababu kila anachofanya kuanzia kununua mita za LUKU mbovu , kulipa vyura bila utaratibu, kukwapua mabilioni kwenye mikataba REA,kuficha hela Indonesia ni maagizo yao hivyo watanzania wakae walime maharage na mahindi wasihangaike. TUTAWAELEWA

Narudia tena! Yalikuwa ni makosa makubwa sana kuwarudisha hawa vijana kwenye serikali na yakawa makosa makubwa zaidi kumtudisha god father wao Kinana kwenye chama maana madhara yake ndiyo haya sasa. Majitu MAJIZI haya yanawaza kuitafuna tu nchi na hayana huruma na watanzania. Ndiyo maana kuwezi ona wanaongelea athari wanapata watanzania kwa kukosa mafuta kwa kuwa tu waziri hatoi vibali mpaka apewe rushwa

Kuna siku watanzania itafika watalazimika kuingia barabarani na ikifika hatua hii hawatataka waziri mwizi na mla rushwa atoke bali watataka CCM na serikali nzima iondoke kwa kuwa mnatetea MAJIZI haya ya akina Kinana na Janaury
C$p
Mungu akulinde sana. Umeongea kwa hisia hadi nimejiskia kushika Upinde na Mishale niingie kuwasaka hawa kupe. Tanzania imebaki Yatima kwa sasa inapigwa makonde kutoka pande zote. Tuendelee kupaza sauti hawa walamba asali kiama chao kinakuja. Wazuri Watakufa tuuu tuendelee kupambana.
 
Sina udhibitisho Kama kipara Ole maropes anakula rushwa, Ila katika hili la uhaba wa mafuta na kukatikakatika kwa umeme Ni wazi huyu jamaa hii wizara imenishinda.
Kama Ni lazima awe waziri Basi mtafutieni hata wizara ya jinsia au tawala za machifu wa kimila. We can't go on like this. Akae pembeni asubiri urais anaoutaka 2025.
 
apewe wizara ya michezo adili na kina harmonize
 
Mzee una sound kama Kigogo wa twitter. Hapa bingo ukiwa level ya uwaziri deal dogo kwako ni mil 800. Kwa hiyo mawaziri wote unaowaona hawa wana mapesa ya kutisha kupitia rushwa.

Ila dada yake guardiola bata analokula sio la nchi hii, wajua hata ile kazi kule south ni Rostam ndio ameunganisha nyuzi, dada hana akili za kutisha na waliofanya nae kazi pale mawasilano ya simu wanamjua kama kichwani alikuwa wa kawaida.

Kuna waziri hili deal la dp world kanunua appartment palm village 4 kwa mpigo. Siasa huku afrika inalipa.

mh! Dada yake yupi
 
Back
Top Bottom