Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini...
Nianze kwa kukupa ‘intro’ ya stori kabla sijakushushia mkeka kamili, ipo hivi hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa kike wa Shule ya Msingi Barracks, Dar es Salaam, amefanyiwa ukatili kwa kubakwa na...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS...
Rais Samia, Waziri wa Afya na Makatibu Wakuu Wizara, kwa taadhima tunaomba umtoe Dkt. Ernest Ibenzi Mganga Mkuu mfawidhi Hospitali ya Mkoa Dodoma.
Amegeuza ofisi ya Umma kama Mali yake binafsi...
Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia?
Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini...
Wasaalam wanajamvi naendelea na namna maskari Eli eli, afande zawadi na mgambo ajulikanae kwa jina Samwel wanavyoharibu sifa nzuri ya jeshi la polisi wilayani Bunda.
Huyu mgambo ambaye vijana wa...
Kijiji chetu Kinaitwa Kijiji Cha kisangiro kata ya kirangi tarafa ya sale Wilaya ya Ngoro Ngoro.
Kijiji chetu upande wa mashariki kinapakana na Kijiji Cha jema, kusini kinapakana na Kijiji Cha...
Nafikisha hili muwaokoe wanachi wa Tegeta Kivukoni. Hali ni mbaya. Sheria kama sikosei gari ikishakuwa level seat ianze safari. Abiria wengine nao wa njiani wanapata nafasi.
Kinachofanyika hapa...
Habari wazalendo wenzangu! Hope mu wazima wa afya!
Katika halmashauri ya Wilaya ya Rorya, kuna eneo lilokuwa likitumika na Utegi Dairy kipindi cha wakoloni sijui.
Nimezaliwa miaka ya 80, kiwanda...
Bodaboda Amepigwa Na Polisi Na Kumsababishia Kifo Ndipo Wananchi Wameandamana Na Kuvunja Kituo Cha Polisi inadaiwa Watu Wawili Wamesha Poteza Maisha Kutokana Na Ufyatuaji Wa Risasi Na Mabomu Ya...
Kumeibuka wizi mkoa wa Arusha unaotishia usalama wa wananchi wa kawaida na wafanyabiashara mbalimbali kuvamiwa na kuibiwa either kwa ujambazi wa kutumia pikipiki (tatu mzuka) ama kuibiwa...
Mambo ya Hovyo Kabisa, hao Polisi wa Chato wana mambo meusi sana.
Kuna uyo Mmoja anaitwa anakuaga amelewa mpaka muda wa Kazi, anatesa sanaa mahabusu, anawavuaga nguo wanabaki uchi anawapiga kama...
Yah: uchomaji moto kwenye taasisi ya serikali
Kiongozi, taasisi yetu iko kwenye hatari kubwa ya kupata janga la moto.
Kaimu Mkurugenzi wa mikopo na biashara ana tabia ya kuchoma vitu visivyo...
Hizi picha hapa chini zinadaiwa ni za daraja la mto Muhuwesi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma.
Inadaiwa kwamba inakaribia mwaka wa nne sasa tangu nguzo zake zicheze na halijafanyiwa marekebisho...
Mh. Rais naisi Kuna watu wanakudanganya, benki zote za Tanzania kwa sasa hazitoi mkopo kwa mtu yoyote paspo kufanyika search kupitia kitu kinaitwa credit bureau, ambapo benki inayotaka kukopesha...
Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa...
Iko wazi kwamba Serikali ya Awamu ya Sita dhamira yake ni kuona wananchi wake hawapati shida, lakini cha ajabu ni kwamba Kituo cha Afya Bulale kilichopo Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Jijini...
Kichwa cha habari cha jitosheleza ,wananchi wa makole D center halmashaur ya jiji walihamisha kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.
Mwanzo walitakiwa...
Nawasalimu wote kwa jina la Upendo. Amani, baraka na neema za Mwenyezi Mungu ziwe pamoja nanyi.
Kwa wakristu, hongereni kwa kuingia nusu ya pili ya mfungo wenu. Pia, nawatakia ndugu zangu waislam...
Kwanza nianze kwa dhati kuwapongeza RPC Mara, OCD, OCS na OCs Bunda kwa kazi nzuri ambapo ushirikiano wao umeufanya mkoa wa Mara kuwa eneo tulivu na salama. Bunda kwa sasa ni eneo ambalo watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.