DOKEZO Wilaya ya Uyui inalazimisha Walimu kuchangia michango ya Mwenge

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Uyui Yetu

Member
Aug 4, 2023
25
24
Wilaya ya Uyui inalazimisha waalimu kuchangia michango ya Mwenge na Mwalimu asiyechangia wanamuwajibisha. Pia, imesisitiza Walimu na Wanafunzi kuwepo shuleni kipindi chote cha mpumziko mafupi kwa ajili ya mapokezi ya Mwenge.

Pia, Mkurugnzi kanunua vitenge vyake na amevisambaza kwa Waratibu elimu Kata. Kila mwalimu anunue na ashone kwa ajili ya kuvaaa sare wakati wa Mwenge na ni lazima Walimu wengi wametishwa na wamenunua.

DED anatumia cheo chake kwa maslahi yake amewatumia waraka WARATIBU, MWALIMU MKUU, NA WAKUU SHULE KUTO VITISHO KWA AJILI YA KUWALAZIMISHA WAALIMU WANAO WAONGOZA.

Serikali ingilieni kati kwa DED huyu anaichonganisha serikali na watumishi, pia ameshindwa kuheshimu mihula iliotolewa na tamisemi na wizara ya elimu
vitenge vya mkurugenzi hivyo vinapigiwa promo
 
Attachments

  • IMG_20230831_140354_701.jpg
    IMG_20230831_140354_701.jpg
    778.1 KB · Views: 4
This thread is too political than None
Weka kapicha basi hata ka barua ya kuchangia au DED unaemtuhumu aliwakabidhi AEKs vitenge wamuuzie kama wachuuzi
Lakini uzi wa namna hii lazima uwe evidence based kuliko balaa laaaa blaaaaaaaaa
Kumbuka hizi ni tuhuma tu
 
acha ushamba mkuu nawe ni mmojawapo wa wanufaika
 
Wilaya ya Uyui inalazimisha waalimu kuchangia michango ya Mwenge na Mwalimu asiyechangia wanamuwajibisha. Pia, imesisitiza Walimu na Wanafunzi kuwepo shuleni kipindi chote cha mpumziko mafupi kwa ajili ya mapokezi ya Mwenge.

Pia, Mkurugnzi kanunua vitenge vyake na amevisambaza kwa Waratibu elimu Kata. Kila mwalimu anunue na ashone kwa ajili ya kuvaaa sare wakati wa Mwenge na ni lazima Walimu wengi wametishwa na wamenunua.

DED anatumia cheo chake kwa maslahi yake amewatumia waraka WARATIBU, MWALIMU MKUU, NA WAKUU SHULE KUTO VITISHO KWA AJILI YA KUWALAZIMISHA WAALIMU WANAO WAONGOZA.

Serikali ingilieni kati kwa DED huyu anaichonganisha serikali na watumishi, pia ameshindwa kuheshimu mihula iliotolewa na tamisemi na wizara ya elimu
Yaani unamchongea ngedere Kwa nyani!?we kwei hamnazo!
 
Sio walimu tu urambo Tabora wafanyakazi wote wa serikali ni lazima kuchangia plus maduka nayo yana mchango wa mwenge
 
Back
Top Bottom