[emoji2765] Hatimaye mmefufuka, mmerudi kwenye hali ya kuimarisha usajili kwa kutumia server za JF, ili hali hata arteta wenu yupo calm.
[emoji2765] Game yenu na Man Utd, safari hii msitarajie mdundiko, this time Man Utd ni serious contender japo hater's hamtaki kabisa kusikia wala kuliona hili...