Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Jibu ni rahisi, tukikutana tena fanya maandalizi utoke na point 3. Kukosea majina sio kitu kikubwa cha msingi mtu anaelewekaHii Timu ikikufunga Adhabu unayoipata kutoka kwa Washabiki wake bora hata ugongwe na gari utapata afadhali.
Enewey DullyJr wafundishe washabiki wenzako kuandika majina ya Wachezaji wenu kwa usahihi wanayakosea sana.
Girudi ×
Viera ×
Aterta ×
Bellarine ×
Tieney ×
Hayo 👆ni baadhi ya makosa niliyoyaona.
Na pia Muzingatie kuwa #ÖzilLifeMatter
#AdrianLifeDoesn'tMatter 😂
"Kadiri ninavyomtazama, ndivyo ninavyotamani angekuwa katika safu ya kiungo ya [Man] United. Ana nguvu sana..pasi zake zinaenda mbele..anafika maeneo mpira ulipo..Nadhani kijana huyu ana nafasi ya kufanya kile Patrick [Vieira] alikuwa akifanya”


