hii itakuwa poa. Ukimkosa Saka, Odegaard kama ana shiriki kukaba anaweza kuwa playmaker wa upande wa kulia anayependa kuingia kati. Nahisi Ljungberg aliwahi kucheza hivi. #10 unakuwa na Smith-Rowe kama kawa...

naona hiyo haitawezekana maana 8 na 6 wako kina Partey, Elneny, Xhaka na Ceba naona lazima wawili wao wawepo, hivyo 7 atapewa Saka, Pepe ataanzia bench. Pepe akiwa wa moto ataanza ila Saka kwa kipindi hiki nadhani ni jina la kwanza kupangwa na Arteta ukimuacha Leno, hivyo anaweza kuwekwa hata #11 lakini akiwa fiti hakai benchi.

Imebakia kujua Tierney na Emile kama watakuepo Jmosi if they will be available itakua poa mno.
Pepe akiwekwa upande wa kulia na Tierney akiwa sawa, subiria lawama kwa Bisaka. Soares napendekeza aanze badala ya Bellerin.
Shaw siku hizi anajitahidi kupandisha timu, Saka na Soares ni wazuri kwa kupress. Am sure Shaw atakua held.
Mtihani wetu ni De Gea, kati kati na Pogba. Fred ni rahisi kua frustrated na kucheza faulo, hivyo siyo tishio kwa timu ila anaweza sababisha mchezaji mmoja kutoka kwaajili ya injury.

Sawa acha tupambane hii Jmosi. Huku tukivuta subira tukiwasubiria kina Everton, West Ham na hata kina Tottenham na Leicester waanze kuchoshwa na mechi nyingi eanze kupoteza maana sisi tumebaki na EPL tu (Europa ssihesabii) kupambania hivyo inatupasa kushinda sana ila pia kwa kutumia wachezaji wetu vizuri. Everton na Villa walianza vizuri wakaleta ushindani ila nahisi momentum inpungua japo wana mechi mikononi. Watarudi tu kwenye nafasi zao wanazostahili huko chini.
-Tierney alienda kuchezea timu ya taifa. Akatakiwa ajiisolate na ataikosa game ya Arsenal as isolation itaextend mpaka siku ya mechi na zaidi.
Arsenal wakaandika barua kusema Tierney anahitajika kwenye mechi. Shirikisho likagoma kwa kupoint kwamba taratibu inabidi zifuatwe na Tierney akiruhusiwa utakua upendeleo hivyo Tierney hatoki. Baadaye Tierney aliruhusiwa na kwenye mechi alikuepo.
-Kuna wachezahi wengi wamesema walihitajika na timu zingine lakini Arsenal ilipoingilia kati ikawa hamna mjadala, safari ni Arsenal.
Mfano wa hivi karibuni ni Odegaard ambaye spurs walikua wanamtaka pia.
Lakini kuna wengine wengi kama Henry, Gabriel n.k.
Kuna usemi unasema "When Arsenal knocks it's a different knock"
-Arsenal ilitaka iruhusiwe kucheza mbele ya mashabiki wake. Wakaruhusiwa, selected few enjoyed the moment.
Sina uhakika kama kuna timu nyingine epl imecheza na mashabiki zaidi ya Arsenal.
-Arsenal imeiomba Benfica mechi ichezwe uwanja neutral, kwa taratibu zilivyo sasa ni kwamba mtu atakayetokea nchi ya Ureno akifika UK inabidi ajiisolate kwa siku 14. Hii inamaanisha kila atakayeenda huko na kurudi ataikosa game ya Leicester na City.
Benfica amegoma akisema game lazima ichezwe Ureno. Ureno ni red zone katika hii ishu ya Covid 19.
Nataka ona hili suala litaishaje. Mimi naona maombi yetu yana logic nzuri tu, unless kama Benfica wana logic nzuri zaidi tusubiri tuone.

kwa chap chap naona hili gumu. labda watachezeshwa vijana wanaokaa sana benchi au ataona kama EUROPA ni mlango wa kuingilia UCL achezeshe wazuri. Kumbuka United nae kashuka huku Europa so huenda tutakutana nae tena. Ila United ajiandae kwa vipigo vingi kutoka kwetu maana EPL tutamuua na akikaa vibaya Europa anakula vipigo vingine.
Je Ujio Wa Odergaard Una Maana Gan Na Nin Hatma Ya Smith Rowe
Kwanza Kabisa Nataka Nielezee Utofauti Uliopita Kati Yao Hawa Wawili Na Namna Ambavyo Wanaweza Kutumika Katika Kuleta Matokeo Chanya Kwenye Team
Emil Smith Rowe
Huyu Bwana Mdogo Style Yake ya Uchezaji ni Tofauti Kabisa Na Ya Martin Odergaard Huyu Silaha Yake Kubwa ni Movement Za Off The Ball Ad Kuja Kufanya Kazi Ya Pasi Ya Mwisho Kuwa Rahisi
Namaanisha Nini
Smith Rowe Akipokea Mpira Kwenda Kwenye Eneo La Hatari La Team Pinzani Huwa Anaachia Pasi Halafu anaendelea Kutembea Na Kasi Kwenda Kutengeneza Wigo Mpana Mbele Yaan Huwa Anaanzisha Move Halafu anasafiri Nayo had Mwisho na Kinachotokea Huwa ni Ngumu Sana Kum Mark Ama Kumzuia Mtu Aliyepo Kwenye Movement Hivyo Kama Move Ikipatq Watu Sahihi Mara Nyingi Smith Rowe Hutoa Pasi Rahisi ya Goli Ama Hufunga Goli Ndan Ya 18 Ya Mpinzan
Style Hii Huhitaji Energy Kubwq Sana Pumzi Na Pi Inahitaji Mtu Makini Katika Kujua Wap Pa Kukimbia na Wap pa Kuachia Mpira
Martin Odergaard
Huyu Bwana Mdogo Style Yake Ya Uchezaji ni Ya Kuuamrisha Mpira Uende Kwenye Maeneo Ya Hatari Na Mara Nyingi Hufanyq Hivyo Bila Kutembea Na Move Sana..Huyu ni Mtaalam Wa Kupiga Zile Killer Pass na Kuvunja Ukuta Kwa Pasi Zenye macho na Ubunifu
Huyu Huwa Hakimbii Eneo Kuwa Sana Kama Rowe Ila Anatumia Mpira Kama Silaha ya Kufika Eneo Husika Pasipo Yeye Kufika Haijalishi ni Katikati Ama nje ya 18
Jinsi Gan Watatumika Hawa??
Hawa ni Namba Kumi Wa Aina Mbili Tofauti Na Ubunifu wao ni wa Aina Tofauti Na Tunawahitaji Wote Kufungua Ukuta Za Wapinzani Na Ukiangalia Mara Nyingi Smith Rowe na Saka Huwa Wanakuwa Kama Wanacheza Free Sana Kama Auba Hayupo Ili Kutengeneza Wigo Mpana Mbele
Rowe Anaweza Kucheza Kama Namba Kumi Anayetokea Pemben Sababu Ana Work Rate Kubwa Kuliko Odergaard Na Odergaard ni Mzuri Akitumika Kama Free Role Sababu ana Creativity Kubwa Kuliko Rowe
Nafurahia Sana Upana Wa Kikosi Sababu Hupelekea Team Kuwa Bora Na Akitoka Mtu Anaingia Mtu
Performance iliyoonyeshwa kwa liva ilikua imeshiba. Nene kweli kweli. Nikawaza Xhaka and co watakavyokua na kazi na scape goat aweza kua nani.
Kuna mtu atasema Liva imefungwa kwakua ilikua inafunguka, jambo ambalo laweza kua sahihi ama la. Forward ya liva siyo lethal kama zamani, na hata mtengeneza chances wao siku hizi kawa kinabo.
Pia defense ya liva kitakwimu ni miongoni mwa defense nyanya. Arsenal ni miongoni mwa timu zenye defense iliyoruhusu magoli machache msimu huu. Katika games 6 zilizopita Arsenal tumepata clean sheets za kutosha.
Leno anatubeba na wakina Holding wanatubeba.
RW wa Arsenal ni Saka. Wa united ni greenwood Saka ana magoli mengi kuliko teenager yeyote kwenye ligi. Alichozidiwa na greenwood ni hype tu ila hesabu chances created, hesabu assissts, ball recoveries unagundua our RW ni bora.
ST wa united ninayemhofia ni cavani, ila ole ana mapenzi binafsi na martial so sitashangaa akimuweka benchi cavani. Pogba is good, kasema anaenda Madrid halafu kastep up, making sure madrid wazidi kuvutiwa na united wajute akiondoka. Ila tuna Partey, tuna Xhaka, tuna Elneny naamini wanatosha kutuliza mid.
Mchezaji mwingine wa united anayefaa kuhofiwa, ingawa naye ni gemu kwa gemu ni Bruno, ana fightimg spirit na ni forward minded player. Anapiga thru balls hatari ni kutarajia tu forwards za united ziendelee kua butu.
Hii game kila mmoja anaweza shinda. Ni swala la nani anataka zaidi.
Toka Arsenal Tulipokuwa na Points 13 tukiwa nafasi ya 15 ktk msimamo wa. Ligi EPL Liverpool wao Walikuwa na points 32 wakiongoza ligi lakini sasa hivi Liverpool Ana points 34 tuu akiwa nafasi ya 4 ktk Msimamo wa ligi..!!
Yaani ina maana ya kwamba Liverpool wameongeza points 2 tuu kutoka 32 kwenda 34 Toka Muda Arsenal Tuko nafasi ya 15 tukiwa na points zetu 13 tuu lkn hivi sasa Arsenal yuko nyuma ya Liverpool kwa points 4 tuu kuingia Top Four Arsenal tukiwa nafasi ya 8 ktk Msimamo wa Ligi EPL Liverpool wao wako nafasi 4 ktk Msimamo wa ligi EPL...!!
kwa chap chap naona hili gumu. labda watachezeshwa vijana wanaokaa sana benchi au ataona kama EUROPA ni mlango wa kuingilia UCL achezeshe wazuri. Kumbuka United nae kashuka huku Europa so huenda tutakutana nae tena. Ila United ajiandae kwa vipigo vingi kutoka kwetu maana EPL tutamuua na akikaa vibaya Europa anakula vipigo vingine.
Je Ujio Wa Odergaard Una Maana Gan Na Nin Hatma Ya Smith Rowe
Kwanza Kabisa Nataka Nielezee Utofauti Uliopita Kati Yao Hawa Wawili Na Namna Ambavyo Wanaweza Kutumika Katika Kuleta Matokeo Chanya Kwenye Team
Emil Smith Rowe
Huyu Bwana Mdogo Style Yake ya Uchezaji ni Tofauti Kabisa Na Ya Martin Odergaard Huyu Silaha Yake Kubwa ni Movement Za Off The Ball Ad Kuja Kufanya Kazi Ya Pasi Ya Mwisho Kuwa Rahisi
Namaanisha Nini
Smith Rowe Akipokea Mpira Kwenda Kwenye Eneo La Hatari La Team Pinzani Huwa Anaachia Pasi Halafu anaendelea Kutembea Na Kasi Kwenda Kutengeneza Wigo Mpana Mbele Yaan Huwa Anaanzisha Move Halafu anasafiri Nayo had Mwisho na Kinachotokea Huwa ni Ngumu Sana Kum Mark Ama Kumzuia Mtu Aliyepo Kwenye Movement Hivyo Kama Move Ikipatq Watu Sahihi Mara Nyingi Smith Rowe Hutoa Pasi Rahisi ya Goli Ama Hufunga Goli Ndan Ya 18 Ya Mpinzan
Style Hii Huhitaji Energy Kubwq Sana Pumzi Na Pi Inahitaji Mtu Makini Katika Kujua Wap Pa Kukimbia na Wap pa Kuachia Mpira
Martin Odergaard
Huyu Bwana Mdogo Style Yake Ya Uchezaji ni Ya Kuuamrisha Mpira Uende Kwenye Maeneo Ya Hatari Na Mara Nyingi Hufanyq Hivyo Bila Kutembea Na Move Sana..Huyu ni Mtaalam Wa Kupiga Zile Killer Pass na Kuvunja Ukuta Kwa Pasi Zenye macho na Ubunifu
Huyu Huwa Hakimbii Eneo Kuwa Sana Kama Rowe Ila Anatumia Mpira Kama Silaha ya Kufika Eneo Husika Pasipo Yeye Kufika Haijalishi ni Katikati Ama nje ya 18
Jinsi Gan Watatumika Hawa??
Hawa ni Namba Kumi Wa Aina Mbili Tofauti Na Ubunifu wao ni wa Aina Tofauti Na Tunawahitaji Wote Kufungua Ukuta Za Wapinzani Na Ukiangalia Mara Nyingi Smith Rowe na Saka Huwa Wanakuwa Kama Wanacheza Free Sana Kama Auba Hayupo Ili Kutengeneza Wigo Mpana Mbele
Rowe Anaweza Kucheza Kama Namba Kumi Anayetokea Pemben Sababu Ana Work Rate Kubwa Kuliko Odergaard Na Odergaard ni Mzuri Akitumika Kama Free Role Sababu ana Creativity Kubwa Kuliko Rowe
Nafurahia Sana Upana Wa Kikosi Sababu Hupelekea Team Kuwa Bora Na Akitoka Mtu Anaingia Mtu
-Tierney alienda kuchezea timu ya taifa. Akatakiwa ajiisolate na ataikosa game ya Arsenal as isolation itaextend mpaka siku ya mechi na zaidi.
Arsenal wakaandika barua kusema Tierney anahitajika kwenye mechi. Shirikisho likagoma kwa kupoint kwamba taratibu inabidi zifuatwe na Tierney akiruhusiwa utakua upendeleo hivyo Tierney hatoki. Baadaye Tierney aliruhusiwa na kwenye mechi alikuepo.
-Kuna wachezahi wengi wamesema walihitajika na timu zingine lakini Arsenal ilipoingilia kati ikawa hamna mjadala, safari ni Arsenal.
Mfano wa hivi karibuni ni Odegaard ambaye spurs walikua wanamtaka pia.
Lakini kuna wengine wengi kama Henry, Gabriel n.k.
Kuna usemi unasema "When Arsenal knocks it's a different knock"
-Arsenal ilitaka iruhusiwe kucheza mbele ya mashabiki wake. Wakaruhusiwa, selected few enjoyed the moment.
Sina uhakika kama kuna timu nyingine epl imecheza na mashabiki zaidi ya Arsenal.
-Arsenal imeiomba Benfica mechi ichezwe uwanja neutral, kwa taratibu zilivyo sasa ni kwamba mtu atakayetokea nchi ya Ureno akifika UK inabidi ajiisolate kwa siku 14. Hii inamaanisha kila atakayeenda huko na kurudi ataikosa game ya Leicester na City.
Benfica amegoma akisema game lazima ichezwe Ureno. Ureno ni red zone katika hii ishu ya Covid 19.
Nataka ona hili suala litaishaje. Mimi naona maombi yetu yana logic nzuri tu, unless kama Benfica wana logic nzuri zaidi tusubiri tuone.
kwa chap chap naona hili gumu. labda watachezeshwa vijana wanaokaa sana benchi au ataona kama EUROPA ni mlango wa kuingilia UCL achezeshe wazuri. Kumbuka United nae kashuka huku Europa so huenda tutakutana nae tena. Ila United ajiandae kwa vipigo vingi kutoka kwetu maana EPL tutamuua na akikaa vibaya Europa anakula vipigo vingine.
Hatimaye mmefufuka, mmerudi kwenye hali ya kuimarisha usajili kwa kutumia server za JF, ili hali hata arteta wenu yupo calm. Game yenu na Man Utd, safari hii msitarajie mdundiko, this time Man Utd ni serious contender japo hater's hamtaki kabisa kusikia wala kuliona hili. Kitendo cha kufungwa na blades, kimeamsha masikio ya kila mtu anayehusika na Man Utd. Hamna rangi mtaacha kuiona hiyo coming game this weekend, mtasanuliwa na mtapotea wote humu kama kawaida yenu. Ngoja leo tucheke, we want liver vs spurs.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.