Tatizo la kupumua! Jiongeze!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Mwanabodi,

Unasubiri nani aseme na wewe! Yes, wewe! Chukua tahadhari! Kauli mbiu, SALA NA TAHADHARI! Mungu atusaidie View attachment 1700007View attachment 1700008View attachment 1700010View attachment 1700009View attachment 1700011View attachment 1700012View attachment 1700013
radiomariatanzania-16130617640238.jpg
View attachment 1700014
 
Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine.

Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze chukua tahadhari.

Chanzo: ITV habari
 
Aliyekwambia watanzania wanasubir matamko ni nani,ujue hakuwa watu wamechoka na matamko kama watgazania,kwa sababu yamekuwepo na hayana faida yyote.Wanachotaka wa tanzania ni resposibility ya serikali yao katika kushirikiana nao wananchi ili kupambana na huu ugonjwa mbao upo hata wewe unajua.Sasa leo rais anasema hakuna corona,leo mganga mkuu anasema watu wachukue tahadhari,halafu na wewe kwa akili zako timamo unaona nchi ipo sawa tu.
Leo mkuu wa chuo huuria anasema watu wachukue tahadhari chuoni kwake,kesho wizara ya elimu inakana kauli ya mkuu wa chuo eti ni yake binafsi haijatoka wizarani,kwaninani alisema imetoka wizarani???.
Mbali na u commander in chief,pia rais ni chief comforter wa nchi,kutoa muongozo kipindi cha majanga na magonjwa yanayoikumba nchi.Hii ni kazi ya rais ambayo ni muhim sana ktk kuliweka taifa pamoja...Utakuwa umeelewa
 
Back
Top Bottom