Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Boiker

Senior Member
Oct 26, 2015
140
250
Bado ipo? na kapicha je.

Adjustments.JPG
Adjustments.JPG
Adjustments.JPG
Adjustments.JPG
 

ChaMkongo

Member
Apr 11, 2020
10
45
Shukran sana mkuu Mungu azidi kukubariki,, asante sana kwa ufafanuzi
Android tv ina features nying tu kam kuwez kuistall applications kam kweny cm kuingua YouTube n.k kam cm inavofany kaz so android iko vzr ukipata yenye android kuanzia 5
 

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
2,993
2,000
Android tv inatumia mfumo wa android kam simu za android

Smart tv ni flat screen za kawaid tu ambazo hazjn mfumo wa android lkn zip kismat zaid
Acha kimdanganya mwenzio, owani mkiwa hamjui ukakaa kimya utaonekana Mjinga? Eyi smart ninya kawaida imekaa ki smart
Jaman mwenye kujua utofauti kati ya Smart TV na Android TV naomba anisaidie
Smart TV ni TV inakuwa integrated na mfumo endeshi unaokupa uwezo wa ziada katika TV kwa mfano, kuwa na app au kufanya mirroring kati ya simu na TV kuunganisha na Internet nk.
TV ya kawaida ni inayokosa mifumo hio, chukua mfano wa Simu ya kitochi na Smartphone. Moja ina basic features, moja inakupa uwezo zaidi wa kuintegrate kifaa chako na vitu au mifumo zaidi.

Android TV, ni smart TV. Yenye mfumo wa Android. Hivyo TV ikiwa tu na android tayari ni smart, mifumo mingine maarufu kwenye smart TV ni Linux, web OS ya LG nk nk

Hibyo TV inaweza kuwa smart isiwe na android, lkn TV ikiwa na android Tayari ni Smart
 

B2D

New Member
Oct 11, 2020
2
20
Acha kimdanganya mwenzio, owani mkiwa hamjui ukakaa kimya utaonekana Mjinga? Eyi smart ninya kawaida imekaa ki smartSmart TV ni TV inakuwa integrated na mfumo endeshi unaokupa uwezo wa ziada katika TV kwa mfano, kuwa na app au kufanya mirroring kati ya simu na TV kuunganisha na Internet nk.
TV ya kawaida ni inayokosa mifumo hio, chukua mfano wa Simu ya kitochi na Smartphone. Moja ina basic features, moja inakupa uwezo zaidi wa kuintegrate kifaa chako na vitu au mifumo zaidi.

Android TV, ni smart TV. Yenye mfumo wa Android. Hivyo TV ikiwa tu na android tayari ni smart, mifumo mingine maarufu kwenye smart TV ni Linux, web OS ya LG nk nk

Hibyo TV inaweza kuwa smart isiwe na android, lkn TV ikiwa na android Tayari ni Smart
Na vipi tofauti ya hzo LED tv, Smart tv, na android tv, but nimeelewa tofauti ya android na smart TV. Lakini kuhusu LED bado
 

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
2,993
2,000
Na vipi tofauti ya hzo LED tv, Smart tv, na android tv, but nimeelewa tofauti ya android na smart TV. Lakini kuhusu LED bado
Dah mkuu unajua mengine uwe una Google tu. LED, LCD, CRT ni teknolojia ya Vioo au kwa kimalikia Display monitor, ya TV au Kompyuta na vifaa vingine.

CRT ni kifupi cha (Cathode ray tube) hii ndio monitor za compyuta na Display za TV zenye Chongo.

Tecknolojia ikaboreshwa ikaja
LCD (Liquid crystal display) tecknolojia hii ikaboresha vioo sasa vikawa flat. Au sio? Kutoka kwenye chogo, Ndio zikaanza kuja TV hazina Chogo, Computer hazina Chongo maana yake zilikuja na LCD

Sasa, LED, (Liquid emitting diode) ni LCD ilioboreshwa. Yani mapungufu ya LCD katika namna kioo kinavuomulikia Picha, maboresho hayo ndio yakaleta kioo kinachoitwa LED.

Kwahiyo kutoka katika swali la kwanza TV inaweza isiwe smart na bado inatumia LED Display, na inaweza kuwa smart ikatumia hiohio LED. Kwa msaada zaidi ni kuwa Nokia tochi na Smartphone nyingine yeyote zote zina Display ya LED. So hakuna uhusiano wa LED na Smart au kutokuwa Smart, kwakuwa kimoja ni masuala ya Hardware kingine ni Software zilizokuwa intergrated katika hardware.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom