Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tulikuwa tunaongoza 3-0
Tupo nyumbani
Game tulikuwa tumeimiliki
Sub Sina tatizo nazo
Walioingia ilitakiwa wajitume maana hawapati nafasi mara kwa mara
Ila hawakufanya hivyo muda mwingi
Hatukupaswa kufanya sub. ,,kumbuka attacking front line ya Leo ndy Mara ya kwanza kucheza pamoja.
Ilipaswa iendelee kucheza vile ilivyo ili kuleta matokeo zaidi na kuwafanya wazidi kuzoeana..
Ole ni muoga sana tu,, akaamua kufanya sub ambayo haieleweki anachokifanya..

Hata martial,, cavani,rashford ,,
Siku zote watu wanapiga kelele wacheze hivyo..akawa mbishi.

Next game atapanga kikosi cha upuuzi,, .badala ya kile kilicholeta mafanikio.
 
4th goal. Daniel James
CgAGVV-9gS2ABBYCAET6HReykRc033.gif
 
"Kwa kweli, kila mchezaji anataka kufunga hat-trick, unajua?" Alisema Fernandes.

"Lakini baada ya mchezo [dhidi ya West Brom] katika Ligi ya Premia nilimwambia Rashy atapiga mpira wa adhabu katika mchezo unaofuata. Ninakumbuka hilo.

"Pia Rashy ni mmoja wa wafungaji bora katika Ligi ya Mabingwa [msimu huu, akiwa na mabao matano] kwa hivyo nadhani itakuwa muhimu kwake kuendelea kwenda huko na kuchukua ujasiri huo. "Kama ninavyosema, haijalishi ni nani anapiga mipira ya adhabu, jambo muhimu zaidi ni kufunga. Wakati timu inapofunga, mimi pia ninafunga.”
 
Hatukupaswa kufanya sub. ,,kumbuka attacking front line ya Leo ndy Mara ya kwanza kucheza pamoja.
Ilipaswa iendelee kucheza vile ilivyo ili kuleta matokeo zaidi na kuwafanya wazidi kuzoeana..
Ole ni muoga sana tu,, akaamua kufanya sub ambayo haieleweki anachokifanya..

Hata martial,, cavani,rashford ,,
Siku zote watu wanapiga kelele wacheze hivyo..akawa mbishi.

Next game atapanga kikosi cha upuuzi,, .badala ya kile kilicholeta mafanikio.
Ndivyo Ferguson alikuwa anafanya, kikosi au mchezaji anayempa matokeo leo basi mechi ijayo anaanza ila huyu cjui huwa anatumia nn kufikiri, kikosi kilichoanza jana watu walikuwa wakikitaka sn lkn aliweka pamba masikio, kinachotakiwa atuwekee wachezaji tunaotaka.

Wapo watakaosema kocha apangiwi lkn hv kweli VDB au Cavani ni wa kukaa benchi pale utd eti kisa mfumo? Mfumo gn huo, mbn wanataka kutuongopea.

Mtu km Cavani anaweza asifunge lkn akatengeneza au hata km hatengenezi but hapotezi mipira hovyo, the same applies to vdb.
 
VDB na Cavani waanze Southampton kwa mfumo huo huo. Maana wako vizuri zaidi. Angalia goli la nne, cavani pasi to VDB na VDB katoa through pass kwa Greenwood.

Hao wawili hawapotezi mipira ovyo kama mabishoo wetu pale mbele.
 
Hakika mkuu...ole haeleweki,,yaani timu hadi leo hana first 11..
Kikosi kilichoshinda Leo ,,,kesho atapangua na kuendelea kutuwekea shit players..

Yaani kuanzia left wing ,right wing,, na centre forward no 9 hawana uhakika wa kucheza mechi inayofata..
pale man u.
Kuanzia goal keeper hadi centre back ndy huwa hawabadiliki labda apate majeruhi..

Watu wanajiuliza inakuwaje hajapata wachezaji wa uhakika first 11?
anasema mfumo ndy tatizo...
Hivi hata kama ni mfumo,,, ole ameingia sokoni na kununuwa wachezaji ili tuwe attacking zaidi eneo la kushambulia,,baada ya kuona ni dhaifu,
akanunuwa striker no 9 cavani,,
akanunuwa creative attacking midifilder vdb mwenye uwezo wa kucheza 8 na 10 kwa uwezo mkubwa..

Sasa kwanini hawachezeshi?
bado anatuwekea akina martial striker no 9 badala ya kumweka really and experienced striker cavani,
huku akiendelea kumpanga tommy na Fred ambao hawana pasi za mwisho na sio creative Sana zaidi ya defensive.,

Watu wa man u pamoja na legenders walipiga sana kelele ole asiendelee kutumia mfumo wa double defensive medifilders,,,
ambao hautupi matokeo ya kushambulia zaidi ya kujilinda.
Watu walitaka tucheze na front line hii ya martial left ,,cavani striker no 9 na rashford right-wing,,

Huku Bruno na VDB wakitalawa upande wa creative attacking midifilders. ,

Ni kweli limeonyesha matokeo mazuri sana..
When Cavan plays up front, ,defenders don't sleep..

Hiyo ndy faida ya kuchezesha striker no 9 mwenye uchu wa kufunga,
Beki zote zinamwangalia yeye ,,huku wengine wakifunga kiwepesi..

Next time martial left ,,cavani no 9..greenwood right wing pia itakuwa nzr..
Rashford au martial aanzie bench.
 
VDB na Cavani waanze Southampton kwa mfumo huo huo. Maana wako vizuri zaidi. Angalia goli la nne, cavani pasi to VDB na VDB katoa through pass kwa Greenwood.

Hao wawili hawapotezi mipira ovyo kama mabishoo wetu pale mbele.
Wameonyesha kwa jinsi gani ni professional,,
Ifikie wakati huyo martial arudishe jezi no 9 ampe cavani kama alivyorejesha kwa ibrahimovic..
Apewe hata jezi no 666.
Tatizo ole haeleweki.. Kesho atamweka benchi VDB na Edison
 
Back
Top Bottom