Recent content by ZenaTulivu

  1. Z

    The Tanzania Political Chaseboard: Tafsiri ya Mambo Mazito Kisiasa Tukielekea 2015

    Kwa nini kila walitendalo Waislamu ni baya kwenu?
  2. Z

    Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

    Chuki binafsi hizo kwa Waislmu nchini mbona tumezizoea. Tulijua mtasema haya tu.
  3. Z

    Ujio mpya wa cuf

    Haya ni majaribu tu tutashinda 2015 na watu kushangaa CUF kutinga ikulu.
  4. Z

    Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

    Malima anaonewa shauri ya dini yake tu. Mbona wanaotukuza zinaa wako kibao tu tena wakiristo.
  5. Z

    UDSM mpeni Lowassa PhD mapema kabla hajaapishwa

    Kwa kuwa Mislamu alipewa hiyo PhD na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam sasa Wakristo mwaona donge mpaka na mkristo mwenzenu naye apewe?
  6. Z

    Yupo wapi Patrick Tsere?

    Alipojitia kwenda kumwakilisha Mkuu wa Mkoa wa wakati huo kwenda kuwasikiliza Wamachinga na matatizo yao, nakuambia kulimtoka unyoya mbele ya wana VIBINDO kiguu na njia hao.
  7. Z

    Yupo wapi Patrick Tsere?

    Nadhani popote pale alipo kawe hatosahau alivyonusurika mikononi mwao Wamachinga wenye hasira pale Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Huo ndiyo uliokua mtihani mkubwa zaidi kwake katika utumishi wa Temeke jiji Dar es salaam.
  8. Z

    Ujumbe wa Sabodo Nyerere Day unatisha

    Mwana CCM halafu tena anakipinga CCM, mbona sielewi?
  9. Z

    GE2010 Vituo vya kupigia kura Igunga

    Sisi hatuhusiki na wagombea makafir Igunga. BAKWATA na CCM mtusamehe sana kulazimisha ushiriki katika mambo ya siasa hatupendezwi kutumika kuwaweka madarakani watu walio Waislamu safi.
  10. Z

    Igunga: Chadema wataka mgombea wa CCM aenguliwe

    Waislamu tunao maslahi gani katika wagombea wote makafir Igunga kiasi cha kufanya BAKWATA kutudhalilisha kila siku na mitamko yasiyokua na mashiko huko?
  11. Z

    Mkakati wa CCM kujivua gamba ni zao la Utafiti kweli au Majungu?

    Tusidanganyane, lengo la CCM kuvua gamba ni la kututema sie Waislamu tu.
  12. Z

    RUBADA signs pact for 165MW power project

    Hao RUBADA ndio akina nani na wamekua wakijihusisha na biashara gani huko nyuma au ndio Richmond mwingine kazaliwa?????????????
  13. Z

    GE2010 CCM kusimamisha mgombea mwanamke 2015?

    Labda mpango wa Mwinyi mdogo ugome ndipo wagombea wengine CCM watazuiliwa mbali kwa kigezo cha zamu ya akina mama kama ilivyotokea kwenye uspika.
  14. Z

    Ishara ya Utajiri bongo ni pamoja na hii...

    Ndao zao bado ziko salama kabisa hii sampuli ya matajiri wa Bongo? Hapa naona ugomvi kutwa mara tatu tu na mama watoto kama kumeza dawa, hamna kitu!!
Back
Top Bottom