Ishara ya Utajiri bongo ni pamoja na hii...

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Ukiwa hivi ni rahisi kumdhamini mtu polisi au mahakamani...


DSC07728.JPG









DSC07731.JPG
 
Ndao zao bado ziko salama kabisa hii sampuli ya matajiri wa Bongo?
Hapa naona ugomvi kutwa mara tatu tu na mama watoto kama kumeza dawa, hamna kitu!!
 
Ungeweka na jinsia nyingine! Uchunguzi unaonyesha wao ndiyo wanavyo sana, therefore richer!!
 
uwe na tumbo hilo halafu na mkeo awe na ujauzito kweli mnaweza kukutana kimwili? :car:
 
Back
Top Bottom