Recent content by Zege Halilal ZH

  1. Z

    Hongera PJ kwa kupata degree...je utaendelea kusoma magazet?

    wajinga ndo hufa kwa wivu...na maswal yko ya ki-cameron cameron
  2. Z

    Hongera PJ kwa kupata degree...je utaendelea kusoma magazet?

    Jana tu hapo co-host wa kipindi kinachobamba Tanzania nzima power breakfast amepata degree yake ya mass comm kutoka Tumaini University.,.Memberz wote wa JF tunakupongeza kwa hilo..tunataka tuone hyo degree unaifanyia nin na co kubaki tu km urembo..nina iman utakua PJ mwngne co yule msoma...
  3. Z

    @@@! Natafuta "Nyumba Ndogo" !@@@

    nyumba ndgo nnayo ina vyumba viwil na choo cha kulenga ipo tandale kwa mtogole...unatka kununua au kupanga?
  4. Z

    Watangazaji Wetu na elimu zao

    Bandugu naomba mnpe elimu za hawa watangazaji 1.regina mwalekwa 2.manfred masaku 3.gerald hando 4.maulid kitenge 5.orest kawau 6.masoud kipanya 7.suleiman semunyu 8.arnold kayanda 9.millard ayo 10.scholastica mazulla!
  5. Z

    Kikao cha kumi cha bunge la JF

    kafumu wa nzega?...bang mbaya
  6. Z

    Godbless Lema Agombee Urais

    nahc wew utakuwa kat ya wale watu waliokuwa wanavunja vioo vya madereva waliokuwa wanakataa kugoma.,.mwambie aache bang anaweza akawa m/kit wenu lkn co rais
  7. Z

    paw, invisible na mod's wengine na 'TCRA' naomben kibali cha kuwatukana 'tigo'

    nmeomba kbal kwa mod's na tcra..sasa we na shobo zako cjui unataka nn?emu kwnda zko
  8. Z

    paw, invisible na mod's wengine na 'TCRA' naomben kibali cha kuwatukana 'tigo'

    blaki womani pole ya mdomo haitosh npe kumbatio la moyo uniondoe stress za tigo
  9. Z

    Rangi Nyekundu kwenye bendera ya CHADEMA ina maana gani?

    kwa roho safi tu naomba mbadilishe bendera yenu kwa 7bu zfuatazo 1.haivutii 2.haimshawishi mtu(mgeni kutoka nch za nje) kuwa na hai ya kutaka kukifuatilia chama chenu na kukijua 3.rangi zake hazina uwiano 4.alama ya vidole viwili ni alama inayoashilia amani kwa kuwa nyie co watu wa aman..ndo...
  10. Z

    Usikubali mtu yeyote akujue hapa JF

    umemtongoza kakukatalia unazugazuga hapa ovyooo
  11. Z

    Mnipokee kwa mikono miwili!

    kwa nn ume2mia jna feki?
  12. Z

    paw, invisible na mod's wengine na 'TCRA' naomben kibali cha kuwatukana 'tigo'

    Naogopa ban ndo maana nawaomba kibali enyi wakuu.. Pia naogopa jela ndo mana nawaomba enyi 'tcra' kbali kdogo tu kutoka kwenyu cha kuwatukana hawa watoa huduma ya mawasiliano 'tigo' kwa kuwa cku hz wanaboa mpaka kero na kukata fedha ovo ovo..mfano mdogo tu jana nliweka vocha ya elfu mbili mida...
Back
Top Bottom