Mnipokee kwa mikono miwili!

Jakubumba

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
1,624
500
Habari wana wa mapenzi, mahusiano na urafiki(mamau). Napenda kujitambulisha kwenu kama memba mpya wa haka kautamu. Nimekuwa ni mfuatiliaji mzuri sana wa jf lakini sikuwahi kujiunga na ukurasa huu. Naahidi kutoa ushikirikiano kwa members wote humu. Naamini hakuna udini humu wala usiasa. Nina mengi yanayonisibu hivyo mkisha nikubalia nitayamwaga aisee.
 
MMU ndo yenye memba wengi eh?
Mi hata sijijui ni memba wa jukwaa gani.
Nishawishini niingie jukwaa lipi kama memba.
 
welcome ila we jinsi gani mana nina special offer for you.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom