Watangazaji Wetu na elimu zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watangazaji Wetu na elimu zao

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Zege Halilal ZH, Nov 4, 2011.

 1. Z

  Zege Halilal ZH Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bandugu naomba mnpe elimu za hawa watangazaji
  1.regina mwalekwa
  2.manfred masaku
  3.gerald hando
  4.maulid kitenge
  5.orest kawau
  6.masoud kipanya
  7.suleiman semunyu
  8.arnold kayanda
  9.millard ayo
  10.scholastica mazulla!
   
 2. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 898
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Toa elimu yako kwanza.
   
 3. Z

  Zege Halilal ZH Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vidudu....
   
 4. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Acha upumbavu
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Na hao wote elimu yao ni vidudu!
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  Utangazaji ni kipaji na sio elimu, japo nakiri kuwa kuwa na kipaji pekee hakutoshi kukufanya mtangazaji mahiri zama hizi za utandawazi hivyo kuwa na elimu bora ni added advantage.

  Kwa vile utangazaji kwanza ni kipaji ndipo elimu inafuatia, hata ukiwa na elimu vipi, bila kipaji ni bure.

  Katika vituo vya Utangazaji nchini, TBC ndio inayoongoza kwa madegree holders na cha mwisho kwa kuwa na degree holders wachache zaidi ni Clouds leo nimemsikia mtangazaji mmoja ndio amegraduate Saut.

  Japo TBC ndio onayoongoza kwa watangazaji wenye shule kubwa, karibu watangazaji wao wengi wenye vipaji vikubwa, shule zao ni za kawaida na wale shule kubwa vipaji vyao ni hafifu, huku Clouds yenye wenye shule hafifu lakini vipaji vikubwa ndio wanaowashika haswa watazamaji/ wasikilizaji.
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  redand bolded: Naomba kujua 'authority' ya hii kauli yako mkuu, vinginevyo fafanua!
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  elimu na kipaji kama cha Zembwela au una maanisha kitu gani mkuu!
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Nachi jua Kitenge ana elimu ya darasa la kumi na mbili
   
 10. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Acha wivu ndugu. Elimu Bongo!!
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Elimu zao zitakusaidia nini? Acha wivu wa kijinga wewe ambaye una degree umeisaidia nini jamii yako? Watu wenye mafanikio aka wanaorun town hawana elimu kubwa fyi we kaa na degree lako kufatilia maisha ya watu wkt huna hata banda la vyumba viwili au hata starlet
   
 12. I

  ISense Member

  #12
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu ambao hawana degree huwa wakali sana, kipaji na elimu ni vitu viwili tofauti, kipaji nakikubali but elimu inakupa wigo mpana wa ufahamu na kuelewa mambo. No wonder watangazaji wetu wanaongea ujinga mwamzo mwisho...
  Elimu ya yule A.Aleikum wa Radio Mawing waliibandika some times back pale kwenye notice board (canteen opp na old Daruso's office).
   
 13. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Duh! Kwa taarifa yako kila KITU ni KIPAJI, so ELIMU ni MUHIMU.
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Wewe mwenye degree umelifanyia nini taifa lako? Nenda IJMC kawachukue watangazaji uwaajiri kwenye radio yako
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  Ndyoko, authority ni mimi mwenyewe. Nawajua watangazaji, najua elimu zao. najua what it takes kuwa mtangazaji mzuri na nawajua watangazaji wenye vipaji, wenye vipaji na wasio na shule kubwa, wenye vipaji na shule kubwa, nawajua hata wenye shule kubwa na wasio na vipaji. Nina list ya top ten watangazaji bora, top 20 mpaka top 50! (naomba usiniombe kuwataja, great thinkers wanajishughulisha zaidi na ideas na sio people).

  Tanzania tuna wastani wa Watangazaji wazuri kama 300 tuu, kati ya hao, 50 wako vituo vya nje ya nchi na 250 ndio wako nchini.

  Kati ya 250 hao, 100 wako Dar na 150 ndio wametapakaa kungine kote.

  Sasa kati ya watangazaji wetu top 10 na top 20 hakuna mwenye degree ni vipaji tuu!.
   
 16. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #16
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  duh siku hizi ukiwa celebrite jiandae kuulizwa kiwango cha elimu yako......................
   
 17. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #17
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hii umeitoa wapi ama nawe ni walewale.Mtu anatakiwa awe na kipaje then anaongezea uwezo kupitia shule kwa fani aliyonayo ili kuongeza ufanisi
   
 18. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #18
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Tafadhali ainisha chanzo cha hizo takwimu zako isije ikawa unadanganya Jukwaa
   
 19. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35

  Acha kujifariji mkuu, naona povu linakutoka mdomoni kwa kupanic, we rudi shule mkuu. Wanawapenda nyie mnaojiita wenye vipaji bila shule coz ni very cheap labor.
   
 20. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #20
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hamna kitu kama hicho mkuu we nenda shule tu acha kujifariji hapa.
   
Loading...