Recent content by ze X

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta Camera Ya Kawaida Yenye quality Nzuri kwa ajili ya Video Production ,

    Nna canon 1200d nibei rahis sna unaeza kunicheki 0718459870
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Wito: Walimu endeeleni kurekodi matukio ya wanafunzi watukutuku ili kuwaumbua watu

    Kma nawao wakiamu kila ticha akitia sound arikodiwe, mbona wengi watakosa kazi
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea Walimu wataacha kuhangaika na mtoto wa mtu

    Wanafunzi niwengi kuliko waalimu, kma nawao wakiamua kuwa wanyama kma unyama wanaofanyiwa, kidogo tutaelewana
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Wajumbe 5 kati ya 9 wanaounda bodi ya Wadhamini CUF wakana uhalali wa maamuzi juu ya Prof. Lipumba

    Nilichogundua mbowe sio mtu mzur kabisa,
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinachomfamya Prof. Lipumba kuing'ang'ania CUF na sababu ya kuukana UKAWA

    Hii habar yaukawa kunawakati inatia kinyaa kabsa, issue ya professor lipumba ni issue za CUF kwa muda huu hio ukawa ikae pending kwanza
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Uendeshwaji wa kesi za uchochezi na makosa ya mtandao

    Leo katika mahakama ya wilaya ya Mbozi, jeshi la polisi liliwapandisha kizimbani vijana watatu, Mdude Nyagali, Aristotle Mgasi na Omary Muba kwa tuhuma za uchochezi na makosa ya mtandao. Mdude na wenzie walikamatwa na kuwekwa rumande wiki 3 zilizopita, bila kupelekwa mahakamani kwa sababu...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Nasikia mwanaume ambaye makalio yapo flat au ana tege huwa wana dushe zilizoshiba?

    Kma kweli mashinzi mashinzi kweli hunahaja utoe descriptions zote izo.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

    Watu kma nyie tanga tunawaita majitu ya bara au machogo, waropokaji msio namaadili, kwawatu wapwani nivazi labusara kuliko jeans nalimevaliwa kabla ya hio chips wala simu zamikononi kuenea
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

    Huo ndoukweli akazemoyo asijitengenezee sababu kuaalichofanyiwa nikila mtu anafanyiwa. Inawezekana unavitabia au vikasoro ambavo kila mwanamke lazma atakucheat ndo life bro, jikaze uface the reality
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

    Wapo wengi sna, tatzo mnakariri sna ntakufata mikumbo ya mnachosikia
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

    Hatanikijua yuko ivo siwez kuamin kua yeye akiwa ivyo it means wote wako ivo, izo niakili zakifala
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana sura mbaya

    Mungu niepushie mbali nahuu uchiz waaina hii
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

    Huo niujinga. Kma kwako wanakuendea vbaya usifikrie dunia nzima inawaendea vbaya. Niwanawake unaokutana nao ww ndowakuivo, tafuta njia nyingine yakijifarij
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Afya ya Ferouz yaendelea kudorora

    Yoyote a naweza akapata ngoma, sitakuja kuruhusu mwanangu awe maarufu
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimeadhirika na punyeto

    Vyakula vyakisuma??? Hizi ndozle ushauri wakijiweni
Back
Top Bottom