Mbona nyie msiovaa hayo madera ndio wenye tabia za hovyo,yaani kabisa umekaa ukatafakari ukaona uje na huu upuuzi unaouita utafiti,dhahiri unaonekana hizo ulizoziorodhesha ndio tabia zako,kuna usemi unaosema simple mind discuss people ,na wewe ndio simple mindkwa sababu umekuja hapa na kujadili watu,tafuta shughuli ingine itakayokuongezea maarifa badala ya kuja hapa na kujadili watu,sijui waswahili ,wazaramo au watu wa Tanga au pwani No,tafuta ishu ingine ya maana kwani unajiangusha wewe siyo great thinker,Great thinker hawezi kuja na petty ishu ya kidaku kama hii,subiri wadaku wenzako wakusupport lakini siyo great thinker hawezi kujadili udaku.