Ww mwalimu nnNakumbuka Mh Spika hapo kabla aliwahi kumcharaza mwenzake kwa bakora almanusura amkatishe maisha lakini hakukuwa na reaction yoyote toka serikalini, kweli walimu hawathaminiwi
Kabla ya walimu ilikua wiki ya scorpionKulikuwa Na mwezi wa tundu lissu ukaja ukuta ikaja wiki ya mbowe Na sasa hii ya teachers
Walimu mmenifurahisha sana kwa kuprove wrong watu.Hii ni dhahiri kabisa kumbe baadhi ya wanafunzi wanakuwa wanaingia darasani teyari washavuta bangi naa wanaviroba kichwani.Kwa mwanafunzi kama huyo ni rahisi kukugomea au kurusha ngumi kwakuwa teyari bangi ipo kichwani.......
Wapo waliokataa yule mwanafunzi wa mbeya day si mvuta bangi na wapo waliosema hatakama mvuta bangi si kwa adhabu ile....sasa kama hujui atahari ya kupigwa vile yule mtoto ni ndogo kuliko uwepo wake pale shuleni kwakuwa huyu anauwezo wa kufundisha wenzake kumi hiyo shule itakuwaje?.....
Mie nafikiri waalimu endeleeni kuturecodia matukio kama hayo au zaidi ya hayo ili serikali na jamii ifahamu walimu mnafundisha watoto wa namna gani.....
NB:
Mawaziri,hakielimu na vyombo vya habari tunawaomba mlishikie kidete na kutoa maamuzi ya haraka juu ya hao wanafunzi...maana mkiwaruhusu walimu watoe adhabu nahisi itakuwa MATEKE,MANGUMI NA MAKOFI
Mtakoma mlisha tuchosha na uzoba wenu ngoja muamshwe..!Wiki ya walimu....
NyookoMtakoma mlisha tuchosha na uzoba wenu ngoja muamshwe..!
Inawezekana mimi ni mwalimu, bila shaka wewe ni mwanafunzi kwa jinsi ulivyoandika post yakoWw mwalimu nn
hayo mambo yakonimefurahi sana, hapa nimeagiza kitimoto kilo 2 rost!