Recent content by ZBhai

  1. Z

    Middle East: Syria, Iran vs Israel tayari kimenuka. Usiku huu!

    Propaganda za kishenzi,ili watengeneze sababu za kuanzisha vita kufikia azma zao,waliotangaza wenyewe ni CNN
  2. Z

    Nyambibo sio kwa mkorogo huu

    Mhh,jamani kama ni kweli,,,basi maisha ni rangirangi kama kinyonga vile kamwe usimbebee mtu dhamana!!!!
  3. Z

    Quiz

    101
  4. Z

    Video: Inasemekana msanii wa muziki Ferouz hali ngumu akiuza Samaki Mchele kitaa

    Mnakaa kujadili kitu ambacho mshaambiwa ni kiki ya nyimbo ni bora kufanya reseach kuliko kujadili tu
  5. Z

    TAZARA (1960 tech) vs Kenyan SGR (2017 Tech)

    Uzalendo kazi kweli yaani,hv ss watz haasa jamani inakuwaje kulazimisha kushindana na Kenya ilhali inajulikana wenzetu wako mbele kihatua.Kujitambua ni nusu ya kufanikiwa,tusipo kubali tukajipanga tutaishia kuja hapa na vipichapicha kila uchwao mara ooh mwendokasi,mara ooh miundombinu , mara...
  6. Z

    Mzembe mzembe mzembe

    Baada ya ufukunyuku mkuu,kumbe MZEMBE ni dada yake REHEMA.........!!!!! Pungizeni fikra chimbo bandungu
  7. Z

    (Du'aa) Ya Kusema Wakati Wa Kumuingilia Mkeo

    Salaam,haya mambo ya kutafuta trend kwenye mada yako ni ya kuangalia sana si kwakuwa unataka kuteka hisia za watu kuchangia mada yako ndio unajiandikia tu ili mradi watu wengi wachangie uzi wako hata kama itakuwa ni negative way,tujifunze kuwa na hekima hilo suala ni la kiimani mno kuliweka hapa...
  8. Z

    Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Kila kitu kimezingatiwa na pini zilozotumika kufungia tafsida ya wimbo huu,ukizifungua tu utajikuta unabadilishwa jina,ni bora kuwa muoga na kukaa kimya kama Roma Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Z

    Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

    Dah!watumwa wa propaganda na fake news ni wengi sana duniani ndio mana Trump huwa anavichana live hivi vyombo vyenye mlengo wa kizayuni cha ajaabu sasa !WANAFURAHA KUTUZIDI! Tchaooooo
  10. Z

    Kiimani zaidi

    Jumapili leo, tujifungie ndani mkuu?
  11. Z

    Moto mkubwa wazuka Israel, waunguza vituo vya jeshi

    Guy,Israel sio wakristo ni mayahudi wala hawaamini kuwa yesu ni mungu tatizo lenu mumekuwabrainwashed mno mpaka hamuoni wala kusikia ukweli uliombele yenu
  12. Z

    Pendekezo: Rais Magufuli tuma majeshi Somalia kuokoa jahazi

    Sio mbaya umejua kushtua watu kidogo,kuna jamaa hapo juu anadhani Alshabaab ni sawa na wapalestina eti Israeli sijui ndio atawaweza kwani hao Israeli hawataki fedha za kuweka serikali vibaraka kama walivyofanya Libya wanajua balaa la wasomali vizuri sana tuache dhihaka zisizo na maana kama no...
  13. Z

    Ilikuwaje ukawa mshabiki wa Simba au Yanga?

    Wapambanapo wawili huwa napendelea mnyonge ashinde sasa hawa SIMBA walizidi kuonewa walionizunguka wote yanga yanga mm nikabaki kwa mnyonge hadi Leo SIMBA damu ila siwezi kuvunja viti kwa kuwa lengo langu ni kuifariji si kuitia hasara
  14. Z

    Zitto Kabwe: Ualimu ni sehemu ya kutokea baada ya kukosa kote

    Hapo kwny lugha tupo pamoja
Back
Top Bottom