Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,639
- 729,577
Basi msalipo fanyeni hivi... Mungu wetu si kiziwi kwamba hatasikia sauté yako. ..huhitaji kupayuka wala kupiga kelele... ndio maana unaaswa kwamba utakapo taka kusali funga mlango fanya maombi yako kwa utulivu. ...Na Baba yako aliye sirini atakujazi