Ni kweli imebase kwenye maswala ya kimwili kuliko yakiroho?Ipo Wala si uongo uislam ni dini inayogusia maisha kwa ujumla ya binadama kwa kila atakachokifanya.
Powa.Si Kweli
Yeye kazi yake ni kuitikia tuu...ameenhio dua ni kwa mwanaume tu?au na mwanamke anaweza kuomba wakati anaingiliwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teeeh, mkuu nifundishe hiyo duwaa niipige kila nikitaka kufanya mamboz.
Wewe hutakiwi kuswali.... Huyo anayekugegeda ndio anapiga dua kwanza. Mind you anatakiwa awe mumeo sio mchepukoIle hamu ikikolea nitasali baada ya kazi 'God will understand'
Swali fikirishi hili!hio dua ni kwa mwanaume tu?au na mwanamke anaweza kuomba wakati anaingiliwa?
Mkuu lengo LA mtoa mada ni kuwakumbusha waamini wa imani husika wala sio kuifananisha na imani nyingine.Nachojua mimi nipo huru sipo chini ya sheria, ninahesabiwa haki kwa neema na si kwa matendo ya sheria.....Du mpaka kwenda msalani eti dua?????
Asante Yesu kwa kunikimboa kwenye utumwa wa sheria za enzi ya Musa......# am freee guys ..nyie bakini hukohuko na sheria zenu
Yesu hakuja kuitengua torati na manabii, bali alikuja kuitimiliza. Tunahukumiwa kwa matendo ya sheria, ndio maana ukitenda uovu utaingua motoni (jehanam) lakini ukitubu utahesabiwa haki.Nachojua mimi nipo huru sipo chini ya sheria, ninahesabiwa haki kwa neema na si kwa matendo ya sheria.....Du mpaka kwenda msalani eti dua?????
Asante Yesu kwa kunikimboa kwenye utumwa wa sheria za enzi ya Musa......# am freee guys ..nyie bakini hukohuko na sheria zenu
Asante sumbai, you're very smart. Hakuleta mada ili tulinganishe na imani zingine, amewakumbusha waumini wenzake kuwa ukitaka kufanya jambo, lazima ufanye duaa.Mkuu lengo LA mtoa mada ni kuwakumbusha waamini wa imani husika wala sio kuifananisha na imani nyingine.
Binafsi sio muumini wa imani husika ila nafurahia na kujifunza kuona wanachofanya wenzetu.
Ni kweli tupo huru, ila kufanya sala kwenye jambo Fulani hakuondoi Uhuru ni kama sala kabla ya kula.
Barikiwa
Kiki ya Jf hainisaidii kitu, kwa waelewa wameelewa na wengine ni hulka yao kutukana sitaacha kuelimisha sijaaza leo wala jana. Hili ni jukwaa la ndoa na mahusiano na mahusiano yetu yamejengwa kwa iman na hakuna mtu alipotukanwa ukiona mtu anatukana jua kichwa yake haiko sawa.Salaam,haya mambo ya kutafuta trend kwenye mada yako ni ya kuangalia sana si kwakuwa unataka kuteka hisia za watu kuchangia mada yako ndio unajiandikia tu ili mradi watu wengi wachangie uzi wako hata kama itakuwa ni negative way,tujifunze kuwa na hekima hilo suala ni la kiimani mno kuliweka hapa ambapo unajua kuna watu wataanza kutusi kwa ww kuliandika ni kukosa busara na kutokuwa na hofu ila kutafuta kiki ya muda mfupi,kuna haja gani sasa kuandika dua ya kutaka kumuingila mkeo mbele ya watu wasioamini hilo kama si kutaka watu waanze kukashifu na kama kweli ww unataka ongoa watu si uanze kuwalingania waamini dini kwanza kwa kuwapa elimu na kama ni inshu ya kuelimisha watu si uelimishe wale wenye imani hiyo kwenye magroup ya dini huko.HII NI SAWA NA MKRISTO KUPIKA KITIMOTO KWENYE HARUSI ALIYOALIKA WAISLAMU ILIHALI AKIJUA WAO HAWATUMII HIYO KITU . tujirekebishe tuache ulimbukeni ni gharama kwa dini zetu
Nashukuru kwa kunielewaMkuu lengo LA mtoa mada ni kuwakumbusha waamini wa imani husika wala sio kuifananisha na imani nyingine.
Binafsi sio muumini wa imani husika ila nafurahia na kujifunza kuona wanachofanya wenzetu.
Ni kweli tupo huru, ila kufanya sala kwenye jambo Fulani hakuondoi Uhuru ni kama sala kabla ya kula.
Barikiwa
Wewe hutakiwi kuswali.... Huyo anayekugegeda ndio anapiga dua kwanza. Mind you anatakiwa awe mumeo sio mchepuko