Middle East: Syria, Iran vs Israel tayari kimenuka. Usiku huu!

Kudasai

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
205
233
Baada ya USA kujitoa ktk mpango wa nuclear ya Iran Sasa tunaona hali ya usalama ktk hili eneo ikiwa mbaya zaidi. Waziri Mkuu Netanyahu tayari yupo Russia. Zaidi ya rockets 20 zimefyatuliwa usiku huu Na Iran kutokea Syria.
According to CNN:
(CNN) More than 20 rockets were fired overnight Wednesday at the Golan Heights in Israel from Syria, and some were intercepted by an aerial defense system, according to a spokesman for the Israel Defense Forces.

Israel believes the rockets were fired by the Iranian al-Quds Force in Syria, said IDF spokesman Lt. Col. Jonathan Conricus. The damage was limited and there were no casualties, he said.

A CNN team in the Golan Heights heard drones flying throughout the night and occasional explosions in the distance.
 
Tuliwaonya waliokuwa wakirukaruka bungeni Iran wakichoma bendera lakini; tulionya kelele za Rohani na wenzake lakini; yule waziri wa mambo ya nje wa Iran alionywa lakini akioneshwa bawa la ndege waliyotungua tena live mkutanoni lakini. Tulishaona moto mzito unakuja. Badala ya kuomba msamaha yaishe wakajifanya kushupaza shingo. Ok, wamechagua moto badala ya amani, mateso makali yanakuja.
 
Tuliwaonya waliokuwa wakurukaruka bungeni Iran wakichoma bendera lakini; tulionya kelele za Rohani na wenzake lakini; yule waziri wa mambo ya nje wa Iran alionywa lakini akioneshwa bawa la ndege waliyotungua tena live mkutanoni lakini. Tulishaona moto mzito unakuja. Badala ya kuomba msamaha yaishe wakajifanya kushupaza shingo. Ok, wamechagua moto badala ya amani, mateso makali yanakuja.
Baada ya kusoma umeelewa chochote?. Rudia kusoma please halafu wewe ni nani mpaka utoe onyo?. Ok una uhakika onyo lako liliwafikia wahusika?
 
Choko choko inatengenezwa kuipiga Iran

Tume ya Nuclear Duniani jana imetoa tangazo kuwa Iran inatekeleza makubaliano ya kuacha kurutubisha Nuclear Kama walivyokubalina

Iran wanabadili Uongozi Na Uchaguzi unafanyika Kama kawaida
Umoja wa Ulaya ume kiri Iran inatekeleza makubaliano Kwa usahihi

Marekani Na Israel wana hofu Iran bila ya Vikwazo huenda ndio akawa Giant wa eneo la Mashariki ya kati
 
Kaeni muone mziki wa Israel.
Ila hawa jamaa ni balaa, yaani missile intercept systems walizonazo ni noma, kuona missile inakua intercepted na radar, calculations za faster projectile inalipuliwa angani kabla haijafika chini, watu wanasoma sayansi bna acha sisi tunaofundisha panya alafu tunasema elimu yetu ipo juu.
 
Tuliwaonya waliokuwa wakurukaruka bungeni Iran wakichoma bendera lakini; tulionya kelele za Rohani na wenzake lakini; yule waziri wa mambo ya nje wa Iran alionywa lakini akioneshwa bawa la ndege waliyotungua tena live mkutanoni lakini. Tulishaona moto mzito unakuja. Badala ya kuomba msamaha yaishe wakajifanya kushupaza shingo. Ok, wamechagua moto badala ya amani, mateso makali yanakuja.
These things are deeper than your mind can comprehend, so usiliongelee kiushabiki shabiki, wewe ulimwonya nani, na who are you, onyo lako to be considered, you don't see the injustices occurring in ME, unaona kabendera kanachomwa, unatoa onyo eti. Mbona zinachomwa ndani ya mipaka ya marekani
 
Syria
1.Russia yupo
2.Turkey yupo
3.USA yupo
4.Iran yupo
5.Israel yupo
6.Islamic State yupo
Screenshot_20180510-073000.jpg
 
These things are deeper than your mind can comprehend, so usiliongelee kiushabiki shabiki, wewe ulimwonya nani, na who are you, onyo lako to be considered, you don't see the injustices occurring in ME, unaona kabendera kanachomwa, unatoa onyo eti. Mbona zinachomwa ndani ya mipaka ya marekani
Baada ya kusoma umeelewa chochote?. Rudia kusoma please halafu wewe ni nani mpaka utoe onyo?. Ok una uhakika onyo lako liliwafikia wahusika?
Vyovyote iwavyo, uchaguzi ni wao. Ama kutimiza masharti vinginevyo watachapwa; hawawezi kuhatarisha usalama wa wengine halafu wakaangaliwa tu. Hivi Iran alifuata nini Syria kwa mfano?
 
Vyovyote iwavyo, uchaguzi ni wao. Ama kutimiza masharti vinginevyo watachapwa; hawawezi kuhatarisha usalama wa wengine halafu wakaangaliwa tu. Hivi Iran alifuata nini Syria kwa mfano?
Acha kurukaruka wewe,mi sijui kuhusu hayo nimekuuliza:
1. Umesoma na kuelewa kilichoandikwa?
2. Wewe ni nani mpaka uwaombe/uwashauri Iran
3. Ushauri wako una hakika uliwafikia wahusika?
NB nakushaur rudia kusoma uelewe sio kukurupuka
 
Back
Top Bottom