Serikali iende Dodoma. Ili Dar isimame kama kitovu na jiji la kibiashara. Kama ilivyo Abuja na Lagos au New York na Washington DC. Foleni zipungue kiana. Kwani wizara zote zikihamia huko na idara muhimu walau watumishi wa Umma na wategemezi wao kama laki moja hivi wataondoka. Ingawaje ukweli...
Ndoa ni kwa hali zote. Kuna changamoto ya kizazi hiki cha sasa kisicho jua misingi ya ndoa. Mwanamke wa jinsi hiyo uwa ni wale wakupotezeana muda. Leo kasema unene, jamaa akisha konda atakuja na mpya, Mara ooo umeanza kuzeeka! Nk nk. Type hiyo imejaa mitaani siku hizi. Ambao hamjaoa iweni...
Kila kitu duniani kina sheria zake za asili. Nyota na sayari zinatii sheria na kanuni zake za mizunguko. Mm inatengeneza chakula chake kwa kuzingatia kanuni, wanyama wanazaliana kwa kuzingatia kanuni za asali nk nk, hivyo hata mafanikio maishani yana kanuni zake za asili.
Tufanye usafi siku ile ya maandalio ya Sabato( Ijumaa). Ingawaje ninacho jua imani yetu uwa inahimiza usafi wa kila siku kwani malaika wa BWANA hawakai mahali penye uchafu, hata iwe ni ktk vyumba vyetu.
Mnara wa askari ni kumbukumbu nzuri kwetu kama Taifa na kwa jiji la Dsm. Minara ya kumbukumbu kwa ajili ya kuwaenzi wasanii, wanamichezo sio mbaya kujengwa maeneo mengine ya jiji,miji na vijiji nchi. Bila kusahau wanasiasa, wananzuoni pia waenziwe kwa minara ya kumbukumbu.
No. 9 uwa ni wito kwa wote wenye akili kuchukua taadhari vile utajiri wako utakapo kuwa umekufa utakavyo tumika kujenga ufalme wa Mungu au wa Shetani. Unashauriwa kutoa sehemu kubwa ya utajiri wako kusukuma ufalme wa Mungu hapa duniani wakati unapo andika wosia.
Inuka, kung'uta vumbi nguo zako, tembea taratibu kisha timua mbio. Wanawake wako bilioni nne duniani. Stop lamenting gentleman! Mpe miaka minne atakuja kwako na vilio na maombi mengi ya msamaha! Ila uamuzi utakuwa ni juu yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.