Mambo kumi kuhusu Bill Gates

Mambo kumi kuhusu Bill Gates

No. 8 ina ukakasi...I wanna be a billionaire Bruno si kashirikishwa tu na Travis McCoy ili aimbe Chorus.. Wimbo wa Travie
 
Angekuwa wa middle east angewaletea akina FaizaFoxy na Ritz zawadi ya nyama ya ngamia na tende wagawane huko m@dr@s@t halafu awachomekee masharti ya kwenda kufanya kazi fulani siku atakapowatuma.
 
No. 9 uwa ni wito kwa wote wenye akili kuchukua taadhari vile utajiri wako utakapo kuwa umekufa utakavyo tumika kujenga ufalme wa Mungu au wa Shetani. Unashauriwa kutoa sehemu kubwa ya utajiri wako kusukuma ufalme wa Mungu hapa duniani wakati unapo andika wosia.
 
Nambar 8 sio sahihi kwenye huo wimbo mmiliki wake sio bruno,bruno kala fyucha2.
 
Dah simpatii picha Bill gate akiimba " I wanna be on the cover of forbes magazine smiling next to Oprah n the queen" & hahaha
 
Namkubali sana bruno hasa kwenye hiz ngoma 3
1 Some wher in brooklyn
2 Count one me
3 Tokng to the moon.
 
Namba tisa nimeipenda ila sidhani kama inatekelezeka
Jackie Chain pia aliwahi kutoa msimamo kama huo. Alisema anamsaidia mtoto kusema na kufika popote lakini baada ya shule asitarajie hata sent ya kuanzia maisha kutoka kwake...hahitaji DNA, kama kweli ni mtoto wake ana uhakika atajitafutia.
 
Back
Top Bottom