Barabara ya fly over TAZARA, itapunguza foleni?

Barabara ya fly over TAZARA, itapunguza foleni?

Mtoa post umeeleweka ila unatumia nguvu kubwa sana ya kuwaelewesha watu. Unataka wadau wote wafanane na wewe kimawazo, haiwekani.
 
Haitasaidia kupunguza foleni....ni muendelezo wa mambo ya kitoto sawa na MWENDO KASI....n.k.
Kwa mfano.
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je?likifika Chama? matumbi je?
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je? likifika vingunguti? si yaleyale...mpaka njia panda ya segerea na banana jam itaongezeka.
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je? likifika mataa changombe?...Hebu tuache kufanyana wajinga.

SULUHISHO:
Zijengwe angalau njia 5 kwenda,5 kurudi.....kila upande......For now and future use.
Kwan umetoa hoja ukiwa na picha halisi ya daraja litakavyo kuwa au ukiwa na kiroba kichwani
 
Flying over ya Tazara itapunguza sana foleni ya Mandela Rd na ile ya Nyerere Rd.
 
Back
Top Bottom