MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Habari za asubuhi wakuu, sasa hivi Yeriko Nyerere anaongea Star Tv live, kwa wale wasiomfahamu mnaweza kumuangalia na kumsikiliza.
Imekuwaje leo anaongea kupitia TV ya CCM?...manake kuna uzi humu bavicha mlihamasishana kupuuzia StarTv.Habari za asubuhi wakuu, sasa hivi yeriko nyerere anaongea star tv live kwa wale wasiomfahamu mnaweza kumuangalia na kumsikiliza
jinga hilo limemponda lowasa na sumaye bila kujua kwakusema huwezi kuhama chama kikubwa cha siasa kwenda kingine. Yaani et huwezi kuhama ccm uende cdm ama uhame cdm uende ccm! Akatoa mfano wa Democratict na Republican kwamba huwezi kuhama labda uache siasa kabisa!Nami namsikiliza. Dogo yuko vizuri kichwani.
"Katiba ya Warioba" lakini Serikali si ya Magufuli!Yericko Nyerere - "ccm haiwezi kuleta mabadiliko maana itajiondoa madarakani,ccm haiwezi kutenganisha siasa na jeshi, ccm haiwezi kuleta Katiba ya warioba,ccm haiwezi kukubali kuleta tume huru ya uchaguzi."
alizidisha mharo matangazo yakakatwa, vingenevyo star tv ingepata adhabu. Alitaka kuleta uchura.View attachment 351801
Hiki hapa
Haujamuelewa vizuri ndugu,amesema vyama vya siasa vya tanzania vyote vinahubiri vitu vile vile vina agenda sawa vina itikadi sawa na ndio maana ni rahisi kwa mwamachama wa ccm kwenda cdm and vice versa atachofanya ni kubadilisha maneno kwenye jukwaa ila ni ngumu kumuona mwanachama wa democratic kwenda republican and vice versa.jinga hilo limemponda lowasa na sumaye bila kujua kwakusema huwezi kuhama chama kikubwa cha siasa kwenda kingine. Yaani et huwezi kuhama ccm uende cdm ama uhame cdm uende ccm! Akatoa mfano wa Democratict na Republican kwamba huwezi kuhama labda uache siasa kabisa!
Huyu kijana bangi sana. Statistics zinaonyesha hakuna aliyehama toka cdm kwenda ccm akapewa nafasi ya maana, ila makapi yaliyotoka ccm yakaenda cdm na kupewa fursa hadi kugombea uraisi ni mengi.
maana yake lowasa hana jipya cdm pamoja na kuzungusha mikono, co?Haujamuelewa vizuri ndugu,amesema vyama vya siasa vya tanzania vyote vinahubiri vitu vile vile vina agenda sawa vina itikadi sawa na ndio maana ni rahisi kwa mwamachama wa ccm kwenda cdm and vice versa atachofanya ni kubadilisha maneno kwenye jukwaa ila ni ngumu kumuona mwanachama wa democratic kwenda republican and vice versa.
Hahahaa leo weekendDaah kavaa kitaliii