accused
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,496
- 2,750
Eeehe , na hivi Mshana na thread zake za uchawi humu Jf unaeza ukatufanya tukaamini hili ujue...
Usinielewe vibaya mtaalamu. Hapa unaongelea jinsi unavyopigwa na baridi na hatari zote za usiku wakati ukiwa katika mambo yako ya kishirikina na matunguli? Nimesoma hiyo sentensi moja kwa moja wazo likanijia nikakuona kabisa laivu ukisafiri kwa ungo usiku kutoka Upareni kwenda DRC kupeleka ripoti. Pole sana mkuu. Ndo maisha ati!
