Recent content by year 2006

  1. year 2006

    JamiiForums Tanzania Je, Yesu Kristo alikaa tumboni kwa Mama yake kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa?

    kwenye bibilia hakuna sehemu inapoonyesha hivyo Christmass haina msingi katika bibilia
  2. year 2006

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Yanga tumeushindwa kabisa Uchawi wa Mvua?

  3. year 2006

    JamiiForums Tanzania Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

    Namaanisha ukatafuta usipate
  4. year 2006

    JamiiForums Tanzania Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

    Mkuu! Kumbuka unaweza ukatafuta halafu ukipata, usitukane mamba kabla hujavuka mto.
  5. year 2006

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, hakuna dawa ya kudumu ya jino bovu! Usiku wa leo nusura nilale uvunguni

    Mi nilifanya 100,000/= kama miezi mitatu iliyopita saivi natafuta chakula fresh, ingawa Juno linakuwa kama mdoli
  6. year 2006

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Jazz CMA F 2 pamoja na Kapoor kwa mujibu wa kanuni ya 29 utaeleza sababu ya kuchelewa kufungua shauri, kumbuka sababu iwe ya msingi tofauti na hapo shauri litafutwa.
  7. year 2006

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kata ya Chome wanaoishi nje ya kata hiyo wameunga mkono jitihada za serikali kuboresha miundombinu ya barabara ya urefu wa kilomita 15

    Hakika bara bara ta Chome imekuwa tatizo hasa ndiveni hadi kilindini lazima uwe na gari ya juu ndio upite hiyo njia,
  8. year 2006

    JamiiForums Tanzania Kesi za barabarani; Trafiki bongo wamepewa mamlaka makubwa mno wakiamua wanaweza hata kukutandika makofi na usiwafanye kitu kama huna ushahidi

    Juzi wiki iliyopita nilikuwa naendesha kufika Manzese gari lazima ghafla wakati inatembea nitajitahidi mwa mwendo nilivyokuwa nayo nikaoegesha upande wa kushoto wa Barbara, akashuka jamaa aliyekuwa upande wa kushoto kuweka terminal vizuri ili niwashe nitembee, cha rajabu alitoka askari wa kike...
  9. year 2006

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Serikali kujenga barabara za zege?

    Ipo inayojengwa Njombe Ludewa mkuu
  10. year 2006

    JamiiForums Tanzania Je, spare za BMW MIN COOPER zinapatikana kirahisi?

    Mkuu msaada hapo jinsi ya kuagiza, nateseka sana kununua kariakoo spare hata wiki haimalizi ishakufa
  11. year 2006

    JamiiForums Tanzania LEO NI WRESTLEMANIA

    Sa ngapi?
  12. year 2006

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza bidhaa nje kupitia posta! Lakini kwa nini wanafungua mizigo?

    Mkuu naomba msaada wako jinsi ya kuagiza mzigo nje Kwa e bay
Back
Top Bottom