TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 1,816
- 5,151
Huko Algeria kinachoendelea muda huu kinasikitisha,na kibaya zaidi huu uchawi wameshajua ndiyo udhaifu wenu.
Niwaulize mashabiki na wadau wa Young Africans,ni kweli uchawi wa mvua mmeushindwa?
Kwanini kila mvua inaponyesha kwenye mechi zenu mmekuwa mkinyong'onyea?,naambiwa huko Algeria mvua haijanyesha miezi sita iliyopita,ila baada ya nyie kutia maguu tu mvua imeanza kupiga kila mualgeria anasherehekea kwa Kifaransa wengine kwa kiarabu,je,hii ina maana gani?
Hebu muambieni mzee mpili na wazee wenzie wafanye namna ili huu uchawi wa mvua utafutiwe ufumbuzi,mimi ni mtani wenu lakini napenda kombe litue nchini ili tuandike historia,japokuwa nafahamu kabisa kejeli zenu na matusi yenu yatanikosesha usingizi lakini sitaki kombe libaki Algeria itakuwa ni matusi makubwa kwa mpira wetu.
Naichukia sana Yanga ila kwenye hili niko pamoja na nyie,natamani kombe lije Tanzania ila kwa mvua zinazoendelea kunyesha huko ni asilimia 0.0000000001% wazee wa utopolo wanaweza kulileta hili kombe nchini.
Hebu mkitoka huko mkiwa na medali zenu za shaba mkifika pale utopoloni mwambieni mzee mpili msimu ujao wajitahidi suala la mvua mlipatie ufumbuzi.
Nikiripoti kitokea hapa Marekani,Ni mimi ndugu yenu Kolo niliye tukuka katika ujenzi wa Taifa.
Nikiwa na mshika maiki mwenzangu Kiranga katika moja na mbili.