Daah Nashindwa kuzizuia hisia zangu kuhusu tukio la kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Jiji Mr Kabwe kweli Tz tumepata kiongozi jasiri tena mwenye maamuzi ya papokwapapo.Natamani nimuone Mheshimiwa Magufur nimpe pongezi ila kwakuwa ningumu kumuona Ujumbe wangu umfikie toka aanze kutumbua leo...
Hiyo ilitokea jana nikweli ilikuwa kwenye mkutano wa waziri mkuu sehemu moja inaitwa Katoro haliyahewa ilichafuka baada ya MC kumpanafasi yakusalimia wapiga kura wake ndipo ilipoanza zomeazomea wakimtaka akae chini takriban dkika kumi zilipotea kwa zomeazomea ila alifanikiwa kuongea nakuerezea...
Jàmani ivi huyo Nape alidanganywa nanan kuwa watanzania wamekubaliana na huo ujinga naimeanza lini watanzania kuonewa huruma kisi cha kunyimwa haki yake ymsngi kma hiyo.Huyo Nape nae ni jipu tena anastairi akatumbuliwe Muhimbili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.