Mwanahabari Huru JF-Expert Member Mar 9, 2015 14,242 34,903 Feb 26, 2016 #1 Wapanga kuandamana nchi nzima kupinga uchaguzi wa marudio, waziri wa Mkapa ataka mazungumzo Zanzibar Chanzo: Tanzania Daima
Wapanga kuandamana nchi nzima kupinga uchaguzi wa marudio, waziri wa Mkapa ataka mazungumzo Zanzibar Chanzo: Tanzania Daima
K kabombe JF-Expert Member Feb 11, 2011 26,153 18,740 Feb 26, 2016 #3 Tisha toto,wao wameshajitoa na wamewaambia wafuasi wao wasuse,maandamanoya nini tena
B bantu.garage JF-Expert Member Oct 13, 2015 1,436 503 Feb 26, 2016 #5 Jamani hali bado tete....tusifanganyane.
JFK wabongo JF-Expert Member Aug 11, 2015 3,887 3,195 Feb 26, 2016 #6 nchi isipotikisika, wajiandae kutikisika wenyewe.