January Makamba: ZEC ilikuwa sahihi kufutwa uchaguzi Zanzibar

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12803211_1050096758388115_1784053787061696649_n.jpg

KAMA SEIF SHARIF ANAAMINI KUWA ALISHINDA UCHAGUZI ZNZ KWANINI AKIMBIE MARUDIO WAKATI WAPIGA KURA WAKE NI WALE WALE, NI KITU GANI ANACHOKIOGOPA
AU KUNA MCHEZO MCHAFU ALIUFANYA ANAJUA UMEGUNDULIWA HIVYO NDIO MAANA ANAKIMBIA MARUDIO?
 
huyu mtu simuelewi -mara serikali iliyopita ilikuwa haikemei madudu! nae alikuwa humohumo!! mara seifu,mara marudio ya uchaguzi, mara ukawa,mara hiki mara kile......zamani kulikuwa na redio tunaziita 'dudu proof' zilikuwa na sauti sana
 
Ni wajinga wachache hasa wafuasi wa CCM km singidadodoma wanaoweza kukubliana na mjinga mwenzao aliyesema hivo. Tanzania hakuna sheria ya uchaguzi inayosema kuwa mpinzani akishinda uchaguzi utarudiwa, hivyo kama maalim kashinda kuna haja gani ya kurudia uchaguzi badala ya kukabidhiwa nchi.
 
12803211_1050096758388115_1784053787061696649_n.jpg

KAMA SEIF SHARIF ANAAMINI KUWA ALISHINDA UCHAGUZI ZNZ KWANINI AKIMBIE MARUDIO WAKATI WAPIGA KURA WAKE NI WALE WALE, NI KITU GANI ANACHOKIOGOPA
AU KUNA MCHEZO MCHAFU ALIUFANYA ANAJUA UMEGUNDULIWA HIVYO NDIO MAANA ANAKIMBIA MARUDIO?
Mpinzani akishinda uchaguzi unarudiwa akishindwa haurudiwi.

Naona kijana wa mwezi nchanga anaanza kazi yake, mwambieni sasa hivi atulie hata mkitaka msifanye uchaguzi nchi mmeshapewa buuree

Tanzania ni nchi ya maajabu sana
 
Ni wajinga wachache hasa wafuasi wa CCM km singidadodoma wanaoweza kukubliana na mjinga mwenzao aliyesema hivo. Tanzania hakuna sheria ya uchaguzi inayosema kuwa mpinzani akishinda uchaguzi utarudiwa, hivyo kama maalim kashinda kuna haja gani ya kurudia uchaguzi badala ya kukabidhiwa nchi.
Je ushindi wake haukuwa na dosari?
 
12803211_1050096758388115_1784053787061696649_n.jpg

KAMA SEIF SHARIF ANAAMINI KUWA ALISHINDA UCHAGUZI ZNZ KWANINI AKIMBIE MARUDIO WAKATI WAPIGA KURA WAKE NI WALE WALE, NI KITU GANI ANACHOKIOGOPA
AU KUNA MCHEZO MCHAFU ALIUFANYA ANAJUA UMEGUNDULIWA HIVYO NDIO MAANA ANAKIMBIA MARUDIO?

Simuelewi, naye ni jipu. Waziri mzigo hatuoni analofanya
 
12803211_1050096758388115_1784053787061696649_n.jpg

KAMA SEIF SHARIF ANAAMINI KUWA ALISHINDA UCHAGUZI ZNZ KWANINI AKIMBIE MARUDIO WAKATI WAPIGA KURA WAKE NI WALE WALE, NI KITU GANI ANACHOKIOGOPA
AU KUNA MCHEZO MCHAFU ALIUFANYA ANAJUA UMEGUNDULIWA HIVYO NDIO MAANA ANAKIMBIA MARUDIO?
ujinga mtupu sasa kama ccm walishinda kwa nini wasimtangaze mshindi? au una maana maalim Seif alishinda?
 
Ni wajinga wachache hasa wafuasi wa CCM km singidadodoma wanaoweza kukubliana na mjinga mwenzao aliyesema hivo. Tanzania hakuna sheria ya uchaguzi inayosema kuwa mpinzani akishinda uchaguzi utarudiwa, hivyo kama maalim kashinda kuna haja gani ya kurudia uchaguzi badala ya kukabidhiwa nchi.
Uchaguzi ulivurugika na ZEC ndio walioufuta kwa mujibu wa sheria, sasa kama unaamini Maalim alishinda anahofu ya nini ya kurudia kupiga kura upya, yeye si aingie ulingoni kwa kuwa wapiga kura wake si walewale anahofu ya nini kama lishinda kihalali atashinda tu, na sasa anavyosusa anamkomoa nani na kwa faida ya nani?
 
12803211_1050096758388115_1784053787061696649_n.jpg

KAMA SEIF SHARIF ANAAMINI KUWA ALISHINDA UCHAGUZI ZNZ KWANINI AKIMBIE MARUDIO WAKATI WAPIGA KURA WAKE NI WALE WALE, NI KITU GANI ANACHOKIOGOPA
AU KUNA MCHEZO MCHAFU ALIUFANYA ANAJUA UMEGUNDULIWA HIVYO NDIO MAANA ANAKIMBIA MARUDIO?
Kweli kila mtu na akili zake
 
Uchaguzi ulivurugika na ZEC ndio walioufuta kwa mujibu wa sheria, sasa kama unaamini Maalim alishinda anahofu ya nini ya kurudia kupiga kura upya, yeye si aingie ulingoni kwa kuwa wapiga kura wake si walewale anahofu ya nini kama lishinda kihalali atashinda tu, na sasa anavyosusa anamkomoa nani na kwa faida ya nani?

mkuu.you are not conversating with Kids here..stop your nonsense
 
Je ushindi wake haukuwa na dosari?
Vizuri umekiri kwanza kwamba ameshinda. Kama ushindi wake ulikuwa na dosari, unafikiri ushindi wa Magu utakosa dosari? NEC ilikataa kusikiliza malalamiko yoyote aliyowasilisha Lowasa na walikimbilia kumtangaza Magu kuwa mshindi.

Lakini ushindi wa Seif Zanzibar umekuwa ni kila unapofanyika uchaguzi mkuu. 2010 pia Dr. Shein alitangazwa "mshindi" wakati akiwa si mshindi kupitia kisanduku cha kura. Kama unafikiri natania msome Mwanamapinduzi hapa: Link Moyo: Nilitumwa kumshawishi Seif akubali matokeo 2010

Ni nani aliwasilisha fomu za malalamiko ya kasoro za uchaguzi kwa ZEC Zanzibar? Jibu ni hakuna.
Kwa nini Jecha anakimbia vyombo vya habari? Kwa nini kama anaamini hatumiki kukidhi matakwa ya kisiasa ya CCM hatoi nafasi ya kuulizwa maswali ili watanzania wajiridhishe kuwa ZEC ni tume huru?

Swali moja ambalo angeweza kuulizwa ni ,kwa mfano, je kwa nini JWTZ ilivamia kituo cha kutangazia matokeo ya uchaguzi?
Kwa nini wewe(Jecha) hukuonekana kituo cha kutangazia matokeo lakini ulionekana kupitia Tv ukitoa tamko la kuufuta uchaguzi na matokeo yake yote?

Je kasoro za uchaguzi zimejitokeza katika vituo vingapi vya kupigia kura? Au katika majimbo mangapi?

Hii ndio maigizo ya CCM. Link CCM washinda uchaguzi wa halmashauri ya kilombero
 
Back
Top Bottom