Donald Trump amjibu Papa Francis

Donald Trump amjibu Papa Francis

Pope Francis has every right in the world to defend Mexicans and other Latinos because he is from there.
 
Na apte2 tuone utekelezaj wake km anamaansha anachoksema
 
Xcellent Trump... Goo gooo...!! Dunia hii kuna watu walishalegea, bila KIONGOZI JEURI HUWEZI ONGOZA.... How can we negotiate with TERRORISTS... eg Al Qaeda, Al Shabab, ISIS.... So, Trump atawakomesha... damn

Goo, goo... TRUTH will remain.. Trump anaongea ukweli sio POLITICS
 
Ahahahaaaa poleni nyie hamjui fitina za hawa white people..kwani nini kinachoendelea congo libya...wamejifanya kumtuma ban kimoon aje apooze mambo kumbe behind the pazia wanachuma na kukamua ngombe kwa kichonganisha
Ebu nitajie shughul yoyote ya ugaidi ambayo urusi amewai kuutetea mkuu taja....on example please...then unitajie na shughul yoyote ya ugaidi inayohusu mmarekan
 
Kauli zake niinzito nazenye msimamo wahatali mno ktk. Dunia. Kauliizo. Zinaweza kupunguza. Ugaidi au zikaongeza zaidi ukweli ugaidi nijambo baya tenalahatali. Zaidi Lakini kuzuia waislam kuingia marekani nihatali. Nyingine. Kuusu. Demoklasia Africa ukweli. Bado. Hakuna. Demokrasia uondio ukweli watuwanatawala myaka therathin watuwanalisishana madaraka akuna demokrasia nawala atamimi. Mimisioni. Umuhim. Wakwenda. Kupanga. Foreni. Etii. Kupiga kura
Yaani nimetumia karibu 264mb ili nielewe ulichoandika lkn nimeambulia patupu....lol[emoji15] [emoji42]
 
Nimetokea kumkubali sana Trump. Nilimsikiliza alivyomjibu Papa tena kwa hekima kabisa. Aliongelea kuhusu watu wa mexico wanavyoingiza madawa ya kulevya na siraha Marekani pia akasema wapo na Wamexico walio wema.
4216a2c0350f70ce72e022333bbfd923.jpg
 
Hivi ni lini Trump aliwahi kusema kuhusu ubaya wanaofanya wamarekani kwa mataifa mengine??
Mexico,China,Japan!!! zimemkaa nchi za watu tu,na kuponda viongozi wa kiafrica.Labda Yuko sahihi kwa Ukosoaj wake lakini sio kwa urais anaoutaka. .
I wish jPM angekuwa mmarekani tena Rais..
 
Mm sioni la maana aliloongea kwa sababu ktk tafiti za ukuaji wa dini duniani Uislam ndiyo dini inayoongoza kupanuka zaidi ktk pande zote za mabara yote!!
 
Mm sioni la maana aliloongea kwa sababu ktk tafiti za ukuaji wa dini duniani Uislam ndiyo dini inayoongoza kupanuka zaidi ktk pande zote za mabara yote!!

Nikweli mkuu! Ukichukulia hapa tz waislamu ni wengi mno wanaelekea kwenye 70 percent, lkn serikali inajaribu kuficha ukweli.
 
Waafrika tujikomboe tena kutoka ktk ukoloni Wa kivitendo na kifikra lakini sio kwa kupitia kwa hawa viongozi vibaraka wa kiafrika. Kama hatutaweza Fanya ivyo basi tutaendelea kuwa watumwa wa kifikra na kukoloniwa hadi mwisho wa dunia. Mnaosema Trump akishinda dunia itakaa sawa, mtakuwa mnaota ndoto za mchana kweupe.

Wametutawala vipi tena Mkuu? Mbona mambo yetu tunayaharibu sisi wenyewe? Tuambie Trump akitawala Marekani na hizo sera zake, Tanzania itaharibikiwa nini ambacho sasa kiko sawa. Tusaidie tukuelewe.
 
Wametutawala vipi tena Mkuu? Mbona mambo yetu tunayaharibu sisi wenyewe? Tuambie Trump akitawala Marekani na hizo sera zake, Tanzania itaharibikiwa nini ambacho sasa kiko sawa. Tusaidie tukuelewe.

Mkuu unaelimu gani?
 
Back
Top Bottom