Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

Huu utawala unaweza ukawa wamateso zaidi hata enzi za utumwa,maana ukiangalia kuzuia mikutano wala maandamano ya kisiasa kwa wapinzani,jumlisha bunge kutokuonyeshwa live..huku CCM wakiandamana huku wakiwa wamebeba mabango ya Ya Kibaguzi ni ruksa..Nashindwa kueleza vizuri.
 
Jàmani ivi huyo Nape alidanganywa nanan kuwa watanzania wamekubaliana na huo ujinga naimeanza lini watanzania kuonewa huruma kisi cha kunyimwa haki yake ymsngi kma hiyo.Huyo Nape nae ni jipu tena anastairi akatumbuliwe Muhimbili
 
Nmeshangaa huyo jamaa anaziba kabisa camera za waandishi wa habari. Hv hii iko sawa

Kwahiyo Ulitaka Aache Kisha Kibarua Chake Kiote Nyasi? Ungemlisha Wewe? Muda Mwingine Muwe Mnatumia AKILI Nyie " NYUMBU ". Pale Yeye Ni KIBARAKA au MTUMWA Tu Hivyo Ni Lazima Afuate Master Wake Anachokisema. AJIRA Zenyewe Ngumu!
 
Kuna jambo linafichwa fichwa hata hivyo litajulikana tu maana hata baadhi ya wabunge wa ccm wapo wamesema hawakubaliani nalo
 
Jàmani ivi huyo Nape alidanganywa nanan kuwa watanzania wamekubaliana na huo ujinga naimeanza lini watanzania kuonewa huruma kisi cha kunyimwa haki yake ymsngi kma hiyo.Huyo Nape nae ni jipu tena anastairi akatumbuliwe Muhimbili
Hadi sasa bado sijajua hivi kwa kina nape ni mkoa gani huo watu wasipo penda kupata habari
 
Wazee tumekaa tu tunasokota tumbaku kwenye gazeti...mkichoka figisu mje kuomba ushauri
 
Nape ni waziri wa Magufuli,unawezaje kusema hana baraka za bosi wake,hili jambo ni kubwa waziri hawezi kujiamlia tu,isitoshe amehusisha na kubana matumizi-sera ya Magufuli
Kwa wenye kuelewa tayari tushaelewa mkuu
 
Kwahiyo Ulitaka Aache Kisha Kibarua Chake Kiote Nyasi? Ungemlisha Wewe? Muda Mwingine Muwe Mnatumia AKILI Nyie " NYUMBU ". Pale Yeye Ni KIBARAKA au MTUMWA Tu Hivyo Ni Lazima Afuate Master Wake Anachokisema. AJIRA Zenyewe Ngumu!
leo umeongea pointi, kula tano.
 
Nape ni waziri wa Magufuli,unawezaje kusema hana baraka za bosi wake,hili jambo ni kubwa waziri hawezi kujiamlia tu,isitoshe amehusisha na kubana matumizi-sera ya Magufuli
Utamtenga vipi boss wake Nape na Nape ktk jambo kubwa kama hili?
 
Back
Top Bottom