Yanayojiri Bungeni baada ya kamati ya uongozi kuketi

Yanayojiri Bungeni baada ya kamati ya uongozi kuketi

Ndugu Kipindi cha Chereko ni Bora kuliko huo upuuzi wa Wabunge wakupiga makelele matusi, kejeli, zogo zakutafuta Kick za vyombo vya habari, Masumbwi wengine wanang'oa MIC kwa makusudi tu kwakuwa wanajua wako Live.

Matikeo yake Nchi inazalisha Jamii ya Watu wasio na Nidhamu.
Na hii imesababisha zaidi baada ya Watanzania kuanza kuchagua wahuni tu kisa wana hasira sasa Taifa linakuwa kama Taifa lawenda Wazimu wapenda makelele badala yakujadili hoja za msingi.

Nimekutukana tusi kubwa sana! Bila huu upinzani unaosema unapiga kelele unadhani deals zote walizopiga ccm tungejua?(Tusi) Mijitu mingine kama misukule tu(Tusi)
 
Baadhi ya wabunge wametolewa nje Msobemsobe kwa kushinikiza kujadiliwa hoja ya Zitto juu ya kusimamishwa bunge kurushwa moja kwa moja na TV.
 
Haya yote yamesababishwa na kina sugu,kurusha masumwi ndani ya bunge,unaona sasa wameharibu kila kitu
Kuonyesha ndio safi, watu wa Mbeya wakiona Nguni zake hazina faida wanamnyima kura. Lakini kama zilikuwa za haki wanampa kura nyingi kama walivyofanya. Kwamba kwa kupata kura nyingi za kumchagua Sugu amezidiwa na kura za Urais tuu na hakuna Mbunge aliyezizoa kama yeye
 
Wabunge wote wa upinzani wametolewa nje hivi sasa na wabunge wa CCM wanaendelea na majadiliano
 
Habari nilizosikia hv punde ni kuwa wabunge wote wa upinzani bungeni wako wanatolewa nje ya bunge na polisi baada ya kugoma wenzao kutolewa waandishi wa habari wamekatazwa kupiga picha kwa mwenye habari zaidi atujuze wadau
 
Shida ya wabunge wetu wakiwa live wanakuwa comedy kutaka waonekane bora yasioneshwe kabisa.
Shida ya mawaziri wetu mizigo wengi waliorithiwa toka kwa dhaifu wanataka kujificha. Waziri gani hata huwezi kutetea hoja inataka kujificha usionwe ubovu wako.
 
Ha ha ha,minyoosho na iendelee,
habari kamili nunua gazeti la nipashe kesho asubuhi
 
Tatizo u-checkbob unakuwa mwingi wakiona wako live.

Sasa umahiri wao uonekane kwa kutekeleza ahadi majimboni siyo kuzomea na mipasho bungeni.
Mnaogopa nini wananchi tukiwaona? Mnaogopa wapinzani wakiwa wanawatumbua majipu live?
 
Ni Azam xtra tu......kama una startimes imekula kwako..japo japo azam nao hawapo hewan sahiz kutokana na mvulugano
Naona tbc wameamua kuwatimua startimes ki aina maana sasa hakuna atakaye nunua hicho king'amuzi tena
 
Kuna mwandishi wa clouds anaitwa rachel chizoza anasema mwenyekiti wa bunge ametoka nnje na kuwaacha wabunge ndani huku akiwa ameamrishi askari polisi kuwatoa wabunge wote wa UKAWA nnje kwa kigezo cha kufanya fujo. Wabunge wa upinzan wameenda kusimama pale mbele ya bunge ile sehemu iliyo wazi. Pia inasemekana askari wameongezwa huku wakiwa na mbwa baadhi yao.
 
Back
Top Bottom