Nimesikia watu nwengi wametapeleliwa na watu wanaodai wanajihusisha na biashara hiyo. kwanza mnunuzi na muuzaji wakati mwengine huwa ni mtu mmoja au wanafahamiana, muuzaji baada ya kukunganisha na soko anataka malipo kwanza kabla ya wewe kuona bidhaa halafu ukishalipa pesa ambay wao wanaona ni...
ndugu , hiko chuo hakitambuliki na baraza la wafamasia nchini. Usimpotezee muda mdogo wako na wala usipoteze pesa zako bue. Soma gazseti la mwananchi la leo tarehe 14 november 2012
hii topic imenikumbusha mbali. mimi nakumbuka kwa mara ya kwanza niliona mtu anashika simu mwaka 1998 nikiwa chuo kikuu. kwa bahati mtu huyu alikuwa room mate na course mate wangu. kwa kweli watu wote darasani tulikuwa tunamuona ni mtu wa matawi. hata yeye alikuwa anajiona yuko tofauti na sisi...
Kutakuwana Jukwaa la Wajasiliamali litakaloendeshwa na wajasilia mali wa Kitanzania walionza biashara yao kwa mtaji mdogo na sasa wamepata mafanikio makubwa kufikia ngazi ya kuwa WAWEKEZAJI hapa Tanzania.
Jukwaa hili hili litafanyika siku ya Jumamosi tarehe 29-01-2011 pale Millenium tower...
Kutakuwana Jukwaa la Wajasiliamali litakaloendeshwa na wajasilia mali wa Kitanzania walionza biashara yao kwa mtaji mdogo na sasa wamepata mafanikio makubwa kufikia ngazi ya kuwa WAWEKEZAJI hapa Tanzania.
Jukwaa hili hili litafanyika siku ya Jumamosi tarehe 29-01-2011 pale Millenium tower...
Mimi naamini kuwa kuna matibabu ya ugonjwa wa kisukari. watu wametoa michango mbalimabali kutoka na uelewa na imani ya kila mtu.
Kwa kifupi hapa Tanzania kama mtu huna pesa unaweza kufa hata kama kama ugonjwa wako ungeweza kutibika SABABU..huna uwezo wa kulipia gharama za matibabu.
Ungonjwa...
Womtindo was a name given to my daughter by her cousin. she was very young by then, the cousin liked her and called her Womtindo meaning Pretty and Trendy. She is still young, I hope she will live her name. I like the name.
nafikiri mimi nataka niwe tofauti kidogo na wengi wa wachangiaji, kuna mmoja amesema isije ikawa kama Dowans, nami nachelea hivyohivyo. Maamuzi ya haraka ya viongozi wetu wakati mwengine matokeo yake yanatugharimu watanzania wote.
Mimi nilifikiri ingekuwa vema kwanza kusettle hizo claims za...
Inatia moyo kuona kuwa watu wengi wamefunguka macho na kuona hasara ya kuchangia harusi ambapo kwa 'mtazamo wangu' ni kuchangiamatumbo yetu yasiyokuwa na shukurani.
Hili swala la michango kwa upande wa kina dada ni zaidi, kwanza kuna mchango wa kitchen party, baada ya hapo ni mchango wa...
There are certain things we do not because we like or accept them but because that what the world is doing/ appreciates. It is Christmas season, in some countries ( (Western Countries)Christmas is celebrated beginning of December and because we like copying things, I dont see any harm if I find...
Hello JF members,
I am a new member, I believe this forum has people who critical thinkers, hoping to learn alot from you guys. lets use the forum constructively for the benefit of all.
Thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.