Hizi sherehe X-Mass Tanzania...?

Hizi sherehe X-Mass Tanzania...?

Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo inayoitwa television ya taifa(TBS1)inaadhimisha krismas wiki mbili kabla na baada na inabadili mfumo wa vipindi vyake na kuwa wa KIKRISMASKRISMAS!Sijasema Krismas isisherehekewe kitaifa lkn pawepo na usawa baina ya Dini zote.

Wazo lako Chungu-tamu sio baya, ila naomba uelewe kuwa hakuna sehemu yoyote kwenye sheria za nchi panasema wakristo waweke maua etc kwenye ofisi, kwahiyo usihusianishe sherehe hizo na serikali. Mambo haya yanafanywa na waumini walioko kwenye ofisi hizo, hivyo hata waislamu wangependa kufanya hivyo hakuna angewazuia. Ila kuiga mambo ya dini fulani nalo sio wazo zuri huenda waislamu hawana utamaduni huu, hivyo hawaoni haja ya kuiga wakristo na ndio maana viongozi wa kiislamu hata siku moja hawajalilalamikia hili. Nafikiri hasa maneno machache yatakusaidia kubadili mtazamo wako, maana wazo kama hili linaweza kuwa kubwa na likahatarisha hata usalama wa raia. Tuwe makini na posts zetu.
 
Jamani naomba mjue kwamba sherehe ya x-mass haziwezi kulinganishwa na kitu au mtu yeyote maana ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa MFALME WA WAFALME NA BWANA WA BWANA!!

Hii ni kwa mujibu wa maandiko, kila goti litapigwa whether you like or not, ina maana hata kama nyimbo na mapambo zinakukera lakini unavisikia na kuviona manake ni kila sehemu utakutana navyo!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Malaria sugu re-incarnated ito chungu_tamu? I thought hizo threads zenye religious sentiments are not advisable to be posted here as they divide rather than unite a rather secular Tanzanian society. It is sad that we go around the circle again and again as if we have nothing more important to discusss, wake up whoever you r
 
Mei Mosi huwa inanisumbua maana mabango mengi hadi kwenye barabara yetu ya kwenda shambani, aagrrrr.
 
Mkuu pole sana kwa kukereka, yaani hivi sasa hata dubai, qatar nk wana x mass season sale ktk mashoping senta yao, waweza cheki hata online.lakini hakuna ktk sherehe zenu
Mkuu acheni kulalama chukueni hatua

Hata tulioko China kwa wasiokuwa na dini, ukipita madukani utapenda mwenyewe mapambo ni ya krismas tu. Kwa hiyo ndugu usikereke kabisa, Christimas is so powerful than other ceremonies in the world.
 
There are certain things we do not because we like or accept them but because that what the world is doing/ appreciates. It is Christmas season, in some countries ( (Western Countries)Christmas is celebrated beginning of December and because we like copying things, I don’t see any harm if I find Christmas trees and somgs in places I least expected. I have seen even Muslims Banks put Christmas decorations, why because this is what others do and people like it that way, besides they serve people from different religions. I think we shouldn’t make a scene out of this. Look at the positive side of it.
 
tatizo waislam hawana kwaya, kwaya la kiislam likipigwa, utacheka hadi uvunjike mbavu. mahubiri yao yakiwekwa, utazima tv sasaivi..hayafurahishi. makwaya yao utasikia..uwhwaahwaaaa, uhwaaa, kama wanatambia au kucheza manyanga ya kuagua kwa mganga wakienyeji....kwani mmekatazwa kuleta kwaya za kiislam pale wakati wa idi?
 
Na tena ni bahati mbaya kwamba as the years go, X-MAS grows sweeter and wider over the land...!

Hakuna sherehe zinazoweza kufananishwa na X-mAS duniani, amini usiamini, na usijaribu kuhoji kabisa maswali yako hayo...Umeikuta X-Mas na utaiacha intact!

Mimi nimo kwenye ofisi ya serikali saa hizi, na tayari bajeti ya mapambo tulishatoa, yalinunuliwa , sasa hivi ni X-MAS CAROLS za hatari zinapiga katika makorido yote!.

Tusihoji kila kitu jamani kisa tuko huru kuongea...X-Mas ni homa ya dunia nzima!
 
Tatizo hawa jamaaa majungu sana,wakristo wakifanya hvi wao wanasema hivi,yaaaani awaeleweki
 
Jamani naomba mjue kwamba sherehe ya x-mass haziwezi kulinganishwa na kitu au mtu yeyote maana ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa MFALME WA WAFALME NA BWANA WA BWANA!!

AMBAYE KWAKE KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA ULIMI UTAKIRI KWAMBA YEYE NI BWANA, Hata wewe.....!!!!
 
Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo inayoitwa television ya taifa(TBS1)inaadhimisha krismas wiki mbili kabla na baada na inabadili mfumo wa vipindi vyake na kuwa wa KIKRISMASKRISMAS!Sijasema Krismas isisherehekewe kitaifa lkn pawepo na usawa baina ya Dini zote.

Mkuu unanishangaza kweli kweli, hivi kwani huji kila dini ina utamaduni wake? Sijui ni Usawa gani unaouzungumzia, kwamba na Wakristo nao walalamike kwamba kwa nini kwenye Siku kuu ya Eid Waislam wengi huwa wanavaa Kanvu na Baghlashea?
 
Na tena ni bahati mbaya kwamba as the years go, X-MAS grows sweeter and wider over the land...!

Hakuna sherehe zinazoweza kufananishwa na X-mAS duniani, amini usiamini, na usijaribu kuhoji kabisa maswali yako hayo...Umeikuta X-Mas na utaiacha intact!

Mimi nimo kwenye ofisi ya serikali saa hizi, na tayari bajeti ya mapambo tulishatoa, yalinunuliwa , sasa hivi ni X-MAS CAROLS za hatari zinapiga katika makorido yote!.

Tusihoji kila kitu jamani kisa tuko huru kuongea...X-Mas ni homa ya dunia nzima!

Ha ha ha PJ umemaliza kabisa Mkuu, Ukipita Ofisini kwetu unatumbuizwa na

1: Silent Night
2: Jingle bell
3: Zanena, Sikukuu
Keengele, za Juu
Waaaumini........

Marry X-Mass and Happy New Year jamani
 
Hivi Wakuu nawezaje pata Audio ya Huu Wimbo niupendao wa X-Mass maana hapa ofisini tumeutafuta yumeukosa

Zanena, Sikukuu
Kengele, za Juu
Waumini furahini
Mukombozi mkumbusheni
Mzawa leo Betlehem
Mzawa leo Betlehem.
 
Jamani marumbano hayasaidii bora tuelimishane; katika hali ya kawaida mfanya biashara, kama ilivyo kwa mtoa huduma ni lazima kujitahidi kadri iwezekanavyo kujumuika na wateja wako au wale unaowahudumia. Hivyo, ingawaje serikali haina dini, wakati wa sherehe kuu za wakriso na waislamu, serikali inapashwa ijumuike nao, maana waumini wa madhehebu hayo mawili ndiyo wateja wake wakuu.
 
Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo inayoitwa television ya taifa(TBS1)inaadhimisha krismas wiki mbili kabla na baada na inabadili mfumo wa vipindi vyake na kuwa wa KIKRISMASKRISMAS!Sijasema Krismas isisherehekewe kitaifa lkn pawepo na usawa baina ya Dini zote.
Huwezi juwa, labda wanafuata mafundisho ya kwenye bibilia, kwamba washeherekee X-mass.
 
Back
Top Bottom