Jukwaa la wasilia mali- jumamosi 29 jan 2011

Womtindo

Member
Dec 7, 2010
14
0
Kutakuwana Jukwaa la Wajasiliamali litakaloendeshwa na wajasilia mali wa Kitanzania walionza biashara yao kwa mtaji mdogo na sasa wamepata mafanikio makubwa kufikia ngazi ya kuwa WAWEKEZAJI hapa Tanzania.

Jukwaa hili hili litafanyika siku ya Jumamosi tarehe 29-01-2011 pale Millenium tower Eagle Hall, ghorofa ya pili.
Ili kushiriki wasiliana kwa number 0784 424 442 au 0712 676 068 au kwa email:tbusinessconsultant@yahoo.com Taja jina na namba ya simu yako na shughuli unayofanya

Gharama zote zimelipiwa, Wahi nafasi ni chache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom