Jukwaa la wasilia mali- jumamosi 29 jan 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jukwaa la wasilia mali- jumamosi 29 jan 2011

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Womtindo, Jan 27, 2011.

 1. W

  Womtindo Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kutakuwana Jukwaa la Wajasiliamali litakaloendeshwa na wajasilia mali wa Kitanzania walionza biashara yao kwa mtaji mdogo na sasa wamepata mafanikio makubwa kufikia ngazi ya kuwa WAWEKEZAJI hapa Tanzania.

  Jukwaa hili hili litafanyika siku ya Jumamosi tarehe 29-01-2011 pale Millenium tower Eagle Hall ghorofa ya pili.
  Ili kushiriki wasiliana kwa number 0784 424 442 au 0712 676 068 au kwa email:tbusinessconsultant@yahoo.com Taja jina na namba ya simu yako na shughuli unayofanya

  Gharama zote zimelipiwa, Wahi nafasi ni chache
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hawa si ndio alioleta Nxt millionaire ktk thread nyingine? Mbona inaonekana jengo la shughuli hii ni lile lile la Nxt millionaire?
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  i suppose.... yes it is
   
 4. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  is it about network marketing?
   
 5. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hwa akina foreverliving,GNLD,tianshi etc
   
Loading...