Hii ni biashara ya ukweli au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni biashara ya ukweli au?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Upanga, Jan 20, 2010.

 1. U

  Upanga Senior Member

  #1
  Jan 20, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu habari za Leo!Ningependa kuwaauliza kuhusu biashara ta RED MERCURY(ZEBAKI NYEKUNDU).
  Nimepata taarifa kuwa hii kitu inatafutwa miaka nenda miaka rudi je ni kweli kitu kama hiii ipooooo?
  Na nimeambiwa kuwa ukifanikiwa kuipata bei yake huwa ni kubwa je kuna ukweli?Naomba kuwasilisha
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  upanga
  Member
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join Date: Mon Jun 2007
  Posts: 15
  Thanks: 0
  Thanked 5 Times in 3 Posts
  Kwanza karibu sana jamvini baada ya kupotelea huko porini kusaka madini ya RED MERCURY!

  Langu ni angalizo tu:
  Angalia, usije ukatapeliwa, maana tangu ulipoondoka mjini ni siku nyingi..huh!
   
 3. U

  Upanga Senior Member

  #3
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Yaani mimi binafsi sijaona mtu akawa tajiri kwa kuuza hiyo kitu ingawa nafahamu wengi wanaopata utajiri kwenye madini mengine!!!!
  Nina brother wangu yaaaaani anaamini kupita kiasi kuwa hiyo biashara ipo na anajitahidi sana kupata angalau 10grms ili apate kutoka.
  Nimemshauri nakumuuliza sana kama kuna mtu yeyote anayemfahamu kafanikiwa hana jibu lakini IMANI anayo kupita kiasi kama kuna mtu anafahamu biashara hiii ipo naomba anipe fununu tuuuuu!
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hiyo kitu ipo sana ila inamatapeli wa kufa mtu watakwambia kuna sehemu inatoka matone matone kuna ya kutengeneza sajawahi kuona aliyefanikiwa kwenye hilo ilanilishawai kuingizwa town nikastuka
   
 5. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wengine utawasikia sijui KARABAI ya mkoloni,,mara sijui Gwara lenye picha ya Trekta..
  Watu tu wanahangaika,,ila ukimuuliza nani katoka kwa hiyo deal,,,hakuna jawabu..
  Upanga kuwa muangalifu...
   
 6. U

  Upanga Senior Member

  #6
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kwa kuchangia nadhani hakuna such kind of the bussiness ila kuna utapeli ambao huwa unapangwa na watu ili kuibia wengine!!!!!Thanks alot
   
 7. E

  Edo JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mercury hutumika katika kuunganisha vipande vidogo vya dhahabu (amalgamation?) na hii kuifanya kuhitajika sana. Wachimbaji wadogo ndio wengi wateja wa hii madini. Hivyo basi utaona kuwa kwenye machimbo ndiko soko liliko na hadithi yote ya utajiri hutoka huko!Nani katajirika-sijui kwa kweli. Kwa hiyo kuwa makini maana sasa watakwambia nenda jeshini ndo inapatikana -na wajeshi si unawajua?
   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Hizo biashara zote ni upuuzi. Watu hawataki kutafanya kazi ili wafanikiwe kwa jasho lao. Ndio maana wengi wamekimbilia ufisadi na ushirikina. Hawataki kusumbua akili zao.

  Wakati niko Sekondari tuliambiwa rupia ya Mjerumani ni dili. Nilipoenda likizo kidogo tuue vikongwe kwa kuitafuta. Tulizunguka maeneo tofauti mengine mbali sana, mwendo wa zaidi ya masaa 10 kwa miguu. Tuliambulia patupu. Mwishowe ikaja dili ya coins fulani za Tz zilitoka kwenye miaka ya 1986/87. Nilinunua kibao nikampa mshikaji wangu akauze Tarime (mpakani na Kenya) wakati wa midterm. Aliporudi akanambia hakupata soko ila coins hakurudisha! Kwa hiyo haya mambo ni utapeli tu!
   
 9. sara-22

  sara-22 Senior Member

  #9
  Apr 6, 2013
  Joined: Apr 6, 2013
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari -zenu..
  Nataka niwe open wise with you gaiz kitu ya kwanza kuhusu-
  "RED MECURY" ni kweli biashara hilo,-
  na si rahisi kupatikana na kuna wengi watapeli na wachawi huwa wanakuambia kabla kufanya test lipa hela kadha alafu baada ya muda mfupi yaani baada kufanya uganga anakwita wakati tayari kashakuloga yani ww ukifanya test unaiyona orignal wakati ni feck-
  2) kama unayo kweli zebaki mimi ndo mnunuzi each gram 50,000 doller
  test itakayo fanyikwa ni
  1) kutumia kiyo
  2)kutumia ndimu
  3) kutumia tishu
  4) kutumia computer ili tutoe pasent yake 99%999 HG
  na vifa vyote ni yakwetu itakayo tumika kufayiwa test
  -yeyote anaye jua mtu anayeuza au yeye mwenyewe anaye-
  contact me kwenye email hii kama kuna swali yeyote ambacho huwezi kuulizia hapa pablic just be free and contact
  swty-shosho@hotmail.com

  3)Sasa kuhusu middel isizidi mtu mmoja hii ni sharti yangu.,,
  - Thank's,,
  Mrs Sara....
   
 10. W

  Womtindo Member

  #10
  Apr 6, 2013
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3

  Nimesikia watu nwengi wametapeleliwa na watu wanaodai wanajihusisha na biashara hiyo. kwanza mnunuzi na muuzaji wakati mwengine huwa ni mtu mmoja au wanafahamiana, muuzaji baada ya kukunganisha na soko anataka malipo kwanza kabla ya wewe kuona bidhaa halafu ukishalipa pesa ambay wao wanaona ni nzuri kwao wanabadili namba na kutoweka. kuna utapeli sana kwenye hiyo biashara
   
 11. sara-22

  sara-22 Senior Member

  #11
  Apr 6, 2013
  Joined: Apr 6, 2013
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hilo kweli lakini kila mtu atakua na mpango yake
  na mm kwaida nafanya deal zangu in public places
  e.g five stars hotel ,, na mm si mara ya kwanza kufanya deal
  hii ,, lazima kabla ya kila kitu amani ipatikane in both sides
  and that what we alwYs deal with
   
 12. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2013
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,119
  Likes Received: 1,749
  Trophy Points: 280
  Mmmmh! Ngoja wataalamu waje..
   
 13. sara-22

  sara-22 Senior Member

  #13
  Apr 6, 2013
  Joined: Apr 6, 2013
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hamna mnunuzi kutuka tz wote watajiri ni kutoka
  u
  UAE, SAUDIA,EYGPT,SOUTH AFRICA
  hii zebaki hua wanatumia kwenye petrol,bom,
  dhahabu,na mambo ya uganga , sasa in our side
  hamna utapeli kama tume fanye test na vifa vyetu na imekua orignal basi muzaji mwenyewe atasema wapi tukitane but in one condition iwe in public alafu tutarudia kufanya test ili tuhakikishe kua hakubadilishwa alafu yeye anahakikisha hela yake kamili basi kila mtu anaondoka zake
  mbona watu wengi tuu wanaijua ila sema ni ya siri na huwa hawasemi wametajirika vipi
   
 14. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2013
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Gusa unate!!!!!!!!!!
   
 15. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2013
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,638
  Likes Received: 1,999
  Trophy Points: 280
  fuatilia hii link:
  en.m.wikipedia.org/wiki/Red_mercury
   
 16. w

  watambi Senior Member

  #16
  Apr 6, 2013
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Usijidangaje achana na biashara hiyo utaishiwa kutapeliwa
   
 17. sara-22

  sara-22 Senior Member

  #17
  Apr 7, 2013
  Joined: Apr 6, 2013
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Any way atakaye kua tayari contact me maanake
  kuna watu bado wameghafilika na ndo vizuri
   
 18. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #18
  Apr 7, 2013
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,934
  Trophy Points: 280
 19. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #19
  Apr 7, 2013
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Mama yangu wee! Hili ni tapeli kubwa kabisa! Kuweni macho! Angalia hata kiswahili halijui!
   
 20. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #20
  Apr 7, 2013
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Wewe ni tapeli mkubwa. Hutampata mtu hapa!
   
Loading...