Recent content by Willey ushaki

  1. W

    Kutujazia FFU chuoni kwetu wakati ni kweli hatuna hata asilimia sifuri ya mkopo!.......

    Inapain xana coz cc wengn pesa bdo ipo kweny maandish. ths iz Mwakas.
  2. W

    TCU na KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY WAWADANGANYA WATANZANIA

    Hyo wiki ijayo hapo KIU mpaka kieleweke ada kubwa,mazngra ya kusomea magumu tunaosoma bussines tunajazana darasani kama madarasa ya shule za kata alafu tcu kikaipa usajili chuo kama shule ya makongo
  3. W

    TCU na KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY WAWADANGANYA WATANZANIA

    Hawa bila kuwakurupusha kwa migomo na maandamo hawataelewa! Kitu cha kushangaza zaidi ni serekali ya bwana jk hivi kweli inamjali mtanzania tuko kwenye nchi yetu alafu huduma tuipate kwa rate ya US dolar!
  4. W

    TCU na KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY WAWADANGANYA WATANZANIA

    Kwenye guide book ya TCU walionyesha ada ya hiki chuo ni milio mbili lakini hapa chuo ada inalipwa kwa rate ya USA dolar na michango mingine mingi kwa mwaka inazidi milion tatu hivi hii serekali inalitambua hili?
  5. W

    GE2010 Helkopta ya CUF yafunika Igunga

    Dah bongo bana sasa hizo helcopta zote zilizoko igunga si zingepelekwa zanzibar wakati wa ajali ili kuokoa watu au kwa sababu nungwi hakuna uchaguzi kuna maafa kwa hiyo hamna ulaji!
  6. W

    IGUNGA (Siasa, Uhalifu na Kura za huruma.

    Me nmependa hcho kisa cha moshi huyo mwizi ni kichwa vibaya inaonyesha hakusoma shule za kata
  7. W

    Bob Marley aliamini Mungu kweli?

    <br /> <br />
  8. W

    Kati ya Mswaki na Toilet Paper nani anafanya kazi ngumu?

    Je kat ya ped na nep nan anafanya kaz zaid?
  9. W

    Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

    Hata bungen kuna mzngaumbwe ndo maana bajet znapta knyemela we unafikir prof maji marefu anafanya nn bungen ccm sio masoro kumleta
  10. W

    honey mfungwa ametoroka jela.....!!!!

    Dah hyo n kwere je mfungwa angeukumiwa kunyongwa
  11. W

    PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

    Toka tido apigwe chini tbc nayo imekuwa gamba eti kituo cha habari cha taifa kinashindwa kutoa habari za mkutano wa chadema lakn itv wanaweza au umat wa watu ndo umeitisha tbc kuirusha hiyo habari au ni intelijensia ya nape
  12. W

    Must college

    Anza kuniandkisha mm
  13. W

    TCU hatimaye Yatema

    Kama njenje mbona ss hatujayaona au una mtu tcu nn tugawie na ss hzo habar
Back
Top Bottom