dUUUUHHH!!!!!!!!!!!!!!!!
Hiiiii picha kwakweriii inatisha wakuu,,, napata picha how much wananchi wanaweka utukufu kwa hiki chama. Anyways, nawatakieni mapambano mema kwaajili ya ukombozi wa nchi hii, nasi wenye mitazamo ya namna nyingine ktk nchi hii tuko nyuma yenu kwa kila jambo jema.
Tunasimamia maamuzi ktk nafasi zetu, tutakaba wezi kwa uwezo wetu,,, ila nguvu kubwa iko kwa WANANCHI....bse in Tanzania the Authority of the govt comes from the PEOPLE lkn mpaka waelimishwe ni kwa namna gani walivyokuwa na mamlaka kubwa, jinsi ya kulinda na kutetea mamlaka zao.