Watanzania tunaosoma vyuo vikuu binafsi nchini vinavyotoza ada kwenye us dola vyatuuwa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tunaosoma vyuo vikuu binafsi nchini vinavyotoza ada kwenye us dola vyatuuwa!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mesm2015, Oct 12, 2011.

 1. mesm2015

  mesm2015 Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 5
  Mimi ni mmoja wa wanafunzi ambaye nasoma chuo kikuu kimoja hapa nchini ambacho ni binafsi! Chuo hiki kinatoza ada zake katika hela ya kigeni us dollar. Matokeo yake inakuwa ngumu kweli kutokana na kuporomoka kwa shillingi ya tanzania. Yaani kila tunapoingia muhula mwingine, shillingi inaporomoka hivyo unakuta ya kwamba ada inapanda kila muhula sababu hapa kwetu hatupati hela ya us dolla toka kwa wadhamini wetu, tunapata toka shillingi ya tanzania hivyo inatupasa kwenda kununua us dollar.
  Sijui kama kuna chombo ambacho kinaweza kutuokoa sababu tunaelekea kushindwa kusoma na kujisomesha kutokana na pesa yetu ambayo ni ishu ya kiuchumi zaidi!
   
 2. nukta

  nukta Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  pole ndugu ww bila shaka ni mwanafunzi wa Imtu au Zanzibar university.Tanzania kuna chombo cha kuwapangia kozi za kusoma wanfunzi na kuwapa stress waombaji mikopo lakini mamlaka ya kusimamia ada ya vyuo vikuu hulo sahau.
   
 3. W

  Willey ushaki Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unasoma KIU nini!
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,525
  Likes Received: 2,446
  Trophy Points: 280
  Andamaneni
   
Loading...