Bob Marley aliamini Mungu kweli?

Yakhe, wewe unajua kuwa mungu hayupo au unaamini kuwa mungu hayupo?

Hakuna mtu yeyote anayejua chochote, kwishney.

Niambie wewe unajua nini ?

Kuna ana acceptable margin of error tu, na kwa kufuata hiyo, najua mungu huyu mjua yote na mwenye upendo usio mwisho hayupo.

Kama angekuwapo ulimwengu usingekuwa fyongo hivi.

Kiranga acha kuchanganya mambo.
Hakuna mtu yeyote anayejua chochote, kwishney.

So unasema wote including you hatujui chochote .Ok sawa Basi ndio maaana wengine tuna IMANI.

Kuna ana acceptable margin of error tu, na kwa kufuata hiyo, najua mungu huyu mjua yote na mwenye upendo usio mwisho hayupo.
Hahahaha hii accptbale margin of error ndio nini ??? yaani unaji ichanganya . Huku unasema kuna acceptable margin of eeror alafu unasema unajua kuwa hayupo. So accepatbale margin of eror unayotaka kusikia wewe ni kuwa hakuna mungu . teh teh teh
Je katika wewe kujua kuwa mungu hayupo hakuna "acceptable" margin of errroe ?
Kama angekuwapo ulimwengu usingekuwa fyongo hivi

Yupo huwezi kumpangia wewe nini kifanyike ninini kisifanyike

Hakuna mtu yeyote anayejua chochote, kwishney.

Yaani hata wewe hujijui kama ni wewe?

Niambie wewe unajua nini ?

Ninajua kuhusu mimi. Ninajua kuhusu chakula na kadhalika.

Kuna ana acceptable margin of error tu, na kwa kufuata hiyo, najua mungu huyu mjua yote na mwenye upendo usio mwisho hayupo.

Kwanza unasema "Hakuna mtu yeyote anayejua chochote, kwishney." Halafu unakuja kusema kwa kufuata an acceptable margin of error unajua kuwa "mungu huyu mjua yote na mwenye upendo usio mwisho hayupo". Sasa hicho si chochote kaka? Heheheheee kauli zako mwenyewe zinakinzana!!! Duuh hii kali ya kufungia wiki.

Kama angekuwapo ulimwengu usingekuwa fyongo hivi.

Tayari kwa kutumia "kama" unaonyesha kutokuwa na uhakika. Huko siyo kujua au labda ndiko kujua kwa kufuata hiyo acceptable margin of error yako? Hivi kwanza ni ngapi, plus or minus?

i think this one got a point....embu msome na muleleweee. in his song bob was talking about something much greater going on. He is saying that if you know what life is worth, then you will look for god on earth. We know when we understand, Almighty god is a living man. He is saying that God is Man. That You, Me, Everyone you know. That we are god. Look for us here on earth, this is what hes talking about. Because we literally are him, each one of us is god. Its our consciousness, its the thing inside us that powers thought. The entity inside you you call yourself is God. Its everything there is. We are gods because we are an extension of him, we are him. We(God) created all this and we/God are/is still creating all of this. Its in the works, were still perfecting it. Each one of us holds the power of a god, which is the power of creation. The gift of consciousness. "Almighty God is A Living Man" Think about it, god is not just in one person, god is every person, he is thought.

People are trying to find god in a church some where or trying to figure out which religion to practice. They look for god in books But they only have to look inside them self to find god. Because you are right there every time. People have been fooled into thinking that they werent god. "You can fool some people some time, but you cant fool all the people all the time."
God is Man, we are all God.

BOB MARLEY KABLA YA KUFARIKI ALIAMINI KWAMBA HAILLE SELLASIE NI MUNGU,
JINA JINGINE LA HAILE SELLASIE NI "LIJ TAFARI MACKONNIN", MARASTAFARIAN WANAPOSEMA "JAH RASTAFARI", WANAMAAMISHA "MUNGU-HAILE SELASSIE".

CHUKULIA KIPANDE HIKI CHA MSITARI KATIKA WIMBO "GIVE THANKS AND PRAISES" KATIKA ALBUM YA CONFRONTATION

"RasTafari is his name(Jah!)
"RasTafari is his name(Jah!)
"If Jah didn't love I"

"If Jah didn't love I"
"Would I be around today?"
"Would I be around to say?".

NI DHAHIRI BASI BOB MARLEY WAKATI ULE AKIFANYA KAZI ZA MUZIKI WAKE ALIABUDU MUNGU WA UWONGO, NA OLE WAO WOTE WENYE KUMCHUKULIA "MWANAMUZIKI" BOB MARLEY KAMA ROLE MODEL WAO, MAANA MZIKI WAKE UMEPOTEZA WENGI, UMEKUFURISHA WENGI PASI NA KUFAHAMU, NAWASHAURI NDUGU ZANGU WOTE MNAOPENDA MIZIKI YA BOB, KAMA WEWE UNAIMANI JUU YA MUNGU WA MANABII, MUUMBA MBINGU NA NCHI, MUUMBA WAKO, FAHAMU KWAMBA KILA PALE BOB MARLEY ANAPOTAMKA "JAH", BASI ANAMAANISHA HAILE SELLASIE, NA KAMA NA WEWE UTAVUTIWA NA WIMBO HUO BASI UTAKUWA UMEMTUKUZA MUNGU WA UWONGO, NA UJUE KWAMBA UNACHEZA DIRECT NDANI YA MTEGO WA SHETANI,WA KUPITIA SAUTI ZA MZIKI.
KUWAPOTOSHA WATU KUMJUA MWENYEZI MUNGU WA UKWELI.

MIMI HAPO AWALI NILIKUWA MMOJA WA MASHABIKI WA BOB, LAKINI BAADA YA KUTAMBUA KWAMBA MZIKI WAKE UNAMTUKUZA BINADAMU NA KUMFANYA KUWA MUNGU BASI NIKAACHA TARATIBU, NA SASA KUSEMA KWELI ILE ADDICTION YA MZIKI WAKE IMEISHA, NAKUBALI JAMAA ALIKUWA NA KIPAJI NA PERSONALITY YA KUPENDWA SANA, NI DHAHIRI HATA MACELEBRITY WA SASA HAWAFIKII PERSONA YA BOB, LAKINI TAMBUENI BEHIND BOB MARLEY MUSIC, KUNA KUABUDU MUNGU NA KUMTUKUZA MUNGU WA UWONGO NA HIYO NI HASARA KUBWA SANA!

HAPO MWANZO NILIKUWA KWENYE DENIAL NIKIAMINI KWAMBA ANAPOSEMA "RASTAFARI" ANAMAANISHA NABII, HII ATLEAST NINGEWEZA KUITOLERATE!, LAKINI NILIPOFAHAMU KWAMBA ANAPOSEMA "RASTAFARI" AU KWA JINA JINGINE HAILE SELLASIE KUWA NDIYE "JAH" AU MUNGU, THEN NIKATAMBUA KWAMBA HUU NI UPOTEVU NA HII MZIKI WA MAKUFURU.

TAFADHALI, KAMA WEWE UNAPENDA MIZIKI YA BOB LAKINI HUTAKI KUTUKUZA MIUNGU YA UWONGO, FANYA UCHUNGUZI WEWE MWENYEWE NA FANYA UAMUZI SAHIHI.

Bob Marley was a member of the Rastafari movement, whose culture was a key element in thedevelopment of reggae. Bob Marley became an ardent proponent of Rastafari, taking their music out of the socially deprived areas of Jamaica and onto the international music scene. He once gave the following response, which was typical, to a question put to him during a recorded interview:
*. Interviewer: "Can you tell the people what it means being a Rastafarian?"
*. Bob: "I would say to the people, Be still, and know that His Imperial Majesty, Emperor Haile Selassie of Ethiopia is the Almighty. Now, the Bible seh so, Babylon newspaper seh so,and I and I the children seh so.Yunno? So I don't see how much more reveal our people want. Wha' dem want? a white God, well God come black. True true." [ 34 ]
As observant Rastafari practice Ital , a diet that shuns meat, Marley was a vegetarian. [ 35 ] According to his biographers, he affiliated with the Twelve Tribes Mansion . He was in the denomination known as "Tribe of Joseph", because he was born in February (each of the twelve sects being composed ofmembers born in a different month). He signified this in his album liner notes , quoting the portion from Genesis that includes Jacob's blessing to his son Joseph . Marley was baptised by the Archbishop of the Ethiopian Orthodox Church in Kingston, Jamaica, on 4 November 1980. [ 36 ] [ 37 ]
The Rastafari movement or Rasta is a new religious movement that arose in a Christian culture in Jamaica in the 1930s. [ 1 ] [ 2 ] Many of its adherents worship Haile Selassie I , former Emperor of Ethiopia (1930–1974), as God incarnate , the Second Advent , orthe reincarnation of Jesus, while other adherents believe that Selassie is simply their earthly king chosen by God. Members of the Rastafari movement are known as Rastas, or Rastafari. The movement is sometimes referred to as "Rastafarianism," but this term is considered derogatory and offensive by some Rastas, who dislike being labelled as an "ism." [ 3 ]
The Rastafari movement encompasses themes such as the spiritual use of cannabis [ 4 ] [ 5 ] and the rejection of western society, called Babylon (from the metaphorical Babylon of the Christian New Testament .) It proclaims Africa (also " Zion ") as the original birthplace of mankind, and embraces various Afrocentric social and political aspirations, [ 4 ] [ 6 ] such as the sociopolitical views and teachings of Jamaican publicist, organizer, and black nationalist Marcus Garvey (also often regarded as a prophet).
Rastafari is not a highly organized religion ; it is a movement and an ideology. Many Rastas say that it is not a"religion" at all, but a "Way of Life." [ 7 ] Most Rastas do not claim any sect or denomination,and thus encourage one another to find faith and inspiration within themselves, although some do identify strongly with one of the " mansions of Rastafari " — the three most prominent of these being the Nyahbinghi , the BoboAshanti and the Twelve Tribes of Israel .
The name Rastafari is taken from Ras Tafari , the pre-regnal title of Haile Selassie I, composed of Amharic Ras (literally "Head," an Ethiopian title equivalent to Duke ), and Haile Selassie's pre-regnal given name, Tafari. Rastafari are generally distinguished for asserting the doctrine that HaileSelassie I, the former and final Emperor of Ethiopia , is another incarnation of the Christian God , called Jah . [ 8 ] Most see Haile Selassie I as Jah or Jah Rastafari ,who is the second coming of Jesus Christ onto the Earth, but to others he is simply God's chosen king on earth.
Today, awareness of the Rastafari movement has spread throughout much of the world, largely through interest generated by reggae music, a notable exponent of which wasJamaican singer/songwriter Bob Marley (1945–1981). By 1997, there were around one million Rastafari faithful worldwide. [ 9 ] In the 2001 Jamaican census, 24,020 individuals (less than 1 percent of the population) identified themselves as Rastafarians. [ 10 ] Other sources have estimated that, in the 2000s, they formed,"About 5 percent of the population," of Jamaica, [ 11 ] orhave conjectured that "there are perhaps as many as 100,000 Rastafarians in Jamaica"

Bob kwenye suala la imani alikua kigeugeu kama wavuta bangi wengine. Alipokaribia kufa alibatizwa ethiopian ordhodox na alizikwa na kanisa hilo.

John 10
31 Then the Jews took up stones
again to stone him.
32 Jesus answered them, Many
good works have I shewed you
from my Father; for which of those
works do ye stone me?
33 The Jews answered him, saying,
For a good work we stone thee
not; but for blasphemy; and
because that thou, being a man,
makest thyself God.
>>>34 Jesus answered them, Is it
not written in your law, I said, Ye
are gods?<<<
35 If he called them gods, unto
whom the word of God came, and
the scripture cannot be broken;
36 Say ye of him, whom the Father
hath sanctified, and sent into the
world, Thou blasphemest; because
I said, I am the Son of God?
37 If I do not the works of my
Father, believe me not.
38 But if I do, though ye believe
not me, believe the works: that ye
may know, and believe, that the
Father is in me, and I in him.

hebu fuatilia lyrics za wimbo wake mmoja unatwa ''jammin''
Unaweza kuuliza kwa nini kichwa cha thread hii kiwe muhimu. Unaweza hata usiwe mtu unayemsikiliza Bob Marley, lakini ukweli unabakia kuwa huyu jamaa ni icon. Mpaka leo kutoka, Brooklyn Bangladesh mpaka Bulyankulu, Tanangozi, Texas mpaka Tahrir watu wanamuelewa.

Kwa kuwa huyu ni mtu mwenye gravita hiyo, na Rastafarians wanaamini mungu, na yeye ndiye icon wao, nakuwa na maswali.

Kuna sehemu anaonekana kama anaamini mungu, mathalani katika makala ya Birmingham Post mwaka 2008 alinukuliwa kusema (check the Wiki)

I am not sure on whether he was dipping into a specific god or the Einstenian "great unknown" "god does not play dice", metaphoric god.

The Rutherford "Onward Christian soldiers" while deconstructing the structure of the atom "god".

Halafu tena, kwangu mimi, kamtaja god huyo huyo in a very liberating manner kwa sisi tusioamini, katika wimbo wake "Get Up, Stand Up". It should be noted muimbaji wa kipande chenye mvuto zaidi -angalau kwangu- katika wimbo huu ni ni Peter McIntosh.

Lakini kwa nini Tosh alisema "Almighty God is a living man"? Kwa nini Bob aliyekuwa kinara wa bendi aliruhusu mashairi haya yachapwe kwa jina lake?

Je, Bob Marley na Peter Tosh hawakuamini kuwapo kwa mungu na waliamini kwamba idea nzima ya "mungu" ni kazi ya wanadamu walioishi kama sisis na ndio maana wakasema "Almighty god is a living man"

"Almighty God is a living man" for god's sake, hivi mamilioni ya nakala za wimbo huu zinaposikilizwa watu huwa wanaelewa hiki kipande au wanaruka tu?

Wimbo wote huu hapa chini.'

Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!

Preacher man, don't tell me,
Heaven is under the earth.
I know you don't know
What life is really worth.
It's not all that glitters is gold;
'Alf the story has never been told:
So now you see the light, eh!
Stand up for your rights. come on!

Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!
Get up, stand up: stand up for your rights!
Get up, stand up: don't give up the fight!

Most people think,
Great god will come from the skies,
Take away everything
And make everybody feel high.
But if you know what life is worth,
You will look for yours on earth:
And now you see the light,
You stand up for your rights. jah!
[ Lyrics from: Get Up, Stand Up Lyrics - Bob Marley ]
Get up, stand up! (jah, jah! )
Stand up for your rights! (oh-hoo! )
Get up, stand up! (get up, stand up! )
Don't give up the fight! (life is your right! )
Get up, stand up! (so we can't give up the fight! )
Stand up for your rights! (lord, lord! )
Get up, stand up! (keep on struggling on! )
Don't give up the fight! (yeah! )

We sick an' tired of-a your ism-skism game -
Dyin' 'n' goin' to heaven in-a Jesus' name, lord.
We know when we understand:
Almighty god is a living man.
You can fool some people sometimes,
But you can't fool all the people all the time.
So now we see the light (what you gonna do?),
We gonna stand up for our rights! (yeah, yeah, yeah! )

So you better:
Get up, stand up! (in the morning! git it up! )
Stand up for your rights! (stand up for our rights! )
Get up, stand up!
Don't give up the fight! (don't give it up, don't give it up! )
Get up, stand up! (get up, stand up! )
Stand up for your rights! (get up, stand up! )
Get up, stand up! (... )
Don't give up the fight! (get up, stand up! )
Get up, stand up! (... )
Stand up for your rights!
Get up, stand up!
Don't give up the fight! /fadeout/

hebu fuatilia lyrics za wimbo wake mmoja unatwa ''jammin''

A chain shall be broken by the weakest, not the strongest, link.

Jammin is at best self contradictory,

Anaanza kwa kukwambia

"Ain't no rules, ain't no vow, we can do it anyhow"

Halafu baadaye anakwambia

"We're jammin' (jammin', jammin', jammin')
And we're jammin' in the name of the Lord;"

You can't invoke jamming in the name of the lord after saying ain't no rules/ vow to this jammin.

Bob was an incoherent nutcase.

Bob Marley was a member of the Rastafari movement, whose culture was a key element in thedevelopment of reggae. Bob Marley became an ardent proponent of Rastafari, taking their music out of the socially deprived areas of Jamaica and onto the international music scene. He once gave the following response, which was typical, to a question put to him during a recorded interview:
*. Interviewer: "Can you tell the people what it means being a Rastafarian?"
*. Bob: "I would say to the people, Be still, and know that His Imperial Majesty, Emperor Haile Selassie of Ethiopia is the Almighty. Now, the Bible seh so, Babylon newspaper seh so,and I and I the children seh so.Yunno? So I don't see how much more reveal our people want. Wha' dem want? a white God, well God come black. True true." [ 34 ]
As observant Rastafari practice Ital , a diet that shuns meat, Marley was a vegetarian. [ 35 ] According to his biographers, he affiliated with the Twelve Tribes Mansion . He was in the denomination known as "Tribe of Joseph", because he was born in February (each of the twelve sects being composed ofmembers born in a different month). He signified this in his album liner notes , quoting the portion from Genesis that includes Jacob's blessing to his son Joseph . Marley was baptised by the Archbishop of the Ethiopian Orthodox Church in Kingston, Jamaica, on 4 November 1980. [ 36 ] [ 37 ]
The Rastafari movement or Rasta is a new religious movement that arose in a Christian culture in Jamaica in the 1930s. [ 1 ] [ 2 ] Many of its adherents worship Haile Selassie I , former Emperor of Ethiopia (1930–1974), as God incarnate , the Second Advent , orthe reincarnation of Jesus, while other adherents believe that Selassie is simply their earthly king chosen by God. Members of the Rastafari movement are known as Rastas, or Rastafari. The movement is sometimes referred to as "Rastafarianism," but this term is considered derogatory and offensive by some Rastas, who dislike being labelled as an "ism." [ 3 ]
The Rastafari movement encompasses themes such as the spiritual use of cannabis [ 4 ] [ 5 ] and the rejection of western society, called Babylon (from the metaphorical Babylon of the Christian New Testament .) It proclaims Africa (also " Zion ") as the original birthplace of mankind, and embraces various Afrocentric social and political aspirations, [ 4 ] [ 6 ] such as the sociopolitical views and teachings of Jamaican publicist, organizer, and black nationalist Marcus Garvey (also often regarded as a prophet).
Rastafari is not a highly organized religion ; it is a movement and an ideology. Many Rastas say that it is not a"religion" at all, but a "Way of Life." [ 7 ] Most Rastas do not claim any sect or denomination,and thus encourage one another to find faith and inspiration within themselves, although some do identify strongly with one of the " mansions of Rastafari " — the three most prominent of these being the Nyahbinghi , the BoboAshanti and the Twelve Tribes of Israel .
The name Rastafari is taken from Ras Tafari , the pre-regnal title of Haile Selassie I, composed of Amharic Ras (literally "Head," an Ethiopian title equivalent to Duke ), and Haile Selassie's pre-regnal given name, Tafari. Rastafari are generally distinguished for asserting the doctrine that HaileSelassie I, the former and final Emperor of Ethiopia , is another incarnation of the Christian God , called Jah . [ 8 ] Most see Haile Selassie I as Jah or Jah Rastafari ,who is the second coming of Jesus Christ onto the Earth, but to others he is simply God's chosen king on earth.
Today, awareness of the Rastafari movement has spread throughout much of the world, largely through interest generated by reggae music, a notable exponent of which wasJamaican singer/songwriter Bob Marley (1945–1981). By 1997, there were around one million Rastafari faithful worldwide. [ 9 ] In the 2001 Jamaican census, 24,020 individuals (less than 1 percent of the population) identified themselves as Rastafarians. [ 10 ] Other sources have estimated that, in the 2000s, they formed,"About 5 percent of the population," of Jamaica, [ 11 ] orhave conjectured that "there are perhaps as many as 100,000 Rastafarians in Jamaica"

Kumbe nilikuwa sisikilizi vizuri nyimbo za Bob Marley!

[h=3]God’s Sovereign Choice[/h][SUP]6 [/SUP]It is not as though God’s word had failed. For not all who are descended from Israel are Israel. [SUP]7 [/SUP]Nor because they are his descendants are they all Abraham’s children. On the contrary, “It is through Isaac that your offspring will be reckoned.”[SUP][b][/SUP] [SUP]8 [/SUP]In other words, it is not the children by physical descent who are God’s children, but it is the children of the promise who are regarded as Abraham’s offspring. [SUP]9 [/SUP]For this was how the promise was stated: “At the appointed time I will return, and Sarah will have a son.”[SUP][c][/SUP]
[SUP]10 [/SUP]Not only that, but Rebekah’s children were conceived at the same time by our father Isaac. [SUP]11 [/SUP]Yet, before the twins were born or had done anything good or bad—in order that God’s purpose in election might stand: [SUP]12 [/SUP]not by works but by him who calls—she was told, “The older will serve the younger.”[SUP][d][/SUP] [SUP]13 [/SUP]Just as it is written: “Jacob I loved, but Esau I hated.”[SUP][e][/SUP]
[SUP]14 [/SUP]What then shall we say? Is God unjust? Not at all! [SUP]15 [/SUP]For he says to Moses,
“I will have mercy on whom I have mercy,
and I will have compassion on whom I have compassion.”[SUP][f][/SUP]

[SUP]16 [/SUP]It does not, therefore, depend on human desire or effort, but on God’s mercy. [SUP]17 [/SUP]For Scripture says to Pharaoh: “I raised you up for this very purpose, that I might display my power in you and that my name might be proclaimed in all the earth.”[SUP][g][/SUP] [SUP]18 [/SUP]Therefore God has mercy on whom he wants to have mercy, and he hardens whom he wants to harden.
[SUP]19 [/SUP]One of you will say to me: “Then why does God still blame us? For who is able to resist his will?” [SUP]20 [/SUP]But who are you, a human being, to talk back to God? “Shall what is formed say to the one who formed it, ‘Why did you make me like this?’”[SUP][h][/SUP] [SUP]21 [/SUP]Does not the potter have the right to make out of the same lump of clay some pottery for special purposes and some for common use?
[SUP]22 [/SUP]What if God, although choosing to show his wrath and make his power known, bore with great patience the objects of his wrath—prepared for destruction? [SUP]23 [/SUP]What if he did this to make the riches of his glory known to the objects of his mercy, whom he prepared in advance for glory— [SUP]24 [/SUP]even us, whom he also called, not only from the Jews but also from the Gentiles? [SUP]25 [/SUP]As he says in Hosea:
“I will call them ‘my people’ who are not my people;
and I will call her ‘my loved one’ who is not my loved one,”[SUP][i][/SUP]

[SUP]26 [/SUP]and,
“In the very place where it was said to them,
‘You are not my people,’
there they will be called ‘children of the living God.’”[SUP][j][/SUP]

[SUP]27 [/SUP]Isaiah cries out concerning Israel:
“Though the number of the Israelites be like the sand by the sea,
only the remnant will be saved.
[SUP]28 [/SUP]For the Lord will carry out
his sentence on earth with speed and finality.”[SUP][k][/SUP]

[SUP]29 [/SUP]It is just as Isaiah said previously:
“Unless the Lord Almighty
had left us descendants,
we would have become like Sodom,
we would have been like Gomorrah.”[SUP][l][/SUP]
Tatizo lako huelewi kwamba, standards za binadamu zinatakiwa kuwa ndogo ukizilinganisha na standards za mungu.

Kwa mfano, binadamu hana upendo mkuu kama anaotakiwa kuwa nao mungu, na wala hana uwezo usio kikomo, na wala hajaumba mtu, lakini anaweza kulisha watoto in most cases. Kwa upendo na uwezo wa kibinadamu tu.

Sasa wale watoo masikini wa Somalia wanaokufa kwa njaa, ina maana mungu hana uwezo wa kuwalisha? Au anao uwezo ila hajali?

Mimi nilifikiri mungu mwenye uwezo mkubwa zaidi na upendo mkubwa zaidi, na asiye na mpinzani wa kumzuia kufanya chochote anachotaka, angeweza kumba ulimwengu bora zaidi ya huu.

Unless of course unakuja na defense ya "god works in mysterious ways", which is no defense at all, but rather an admission that you do not have answers to tough questions. I can equally say, if you believe "go works in mysterious ways", that may be a self fulfilling prophecy in that the mystery here is that you profess knowing the existence ofn something you have absolutely neither idea nor empirical proof about it's existence at all.

Na kama unasema mungu si kazi yake, katupa akili tujikimu wenyewe, kwa nini kapendelea wengine na kuwapa akili wanaiendesha dunia, tatizo lao si kukosa chakula, tatizo lao chakula kingi, na wengine kawanyima akili kila siku wanapigana vita, hata ukija kuwapa msaada wanataka kukuua?

Hivi mungu mwenye uwezo mkuu anaweza kuumba kiumbe akakinyima akili? Wanaozaliwa na mtindio wa ubongo wamemkosea nini? Viziwi? Vipofu? Kwa nini wengine wanazaliwa na viungo vyote na wengine wanazaliwa kama vinyangarika vya ajabu? Hii ndiyo kazi ya mungu mwenye upendo wa juu kabisa na uwezo usio kifani?

Kwa nini kampa binadamu ubongo ambao ni better kuliko wanyama? Ina maana upendo wake umefikia kikomo kwa binadamu na wanyama hawapendi? Inamaana hawa animal right activists wanaotetea haki za wanyama wana upendo kuliko mungu?

Kwa nini hata katika binadamu kuna wengine kawapa akili zaidi ya wengine? Hawa aliowanyima akili anawapenda sawa na wale aliowapa? Kama ndiyo, kwa nini hakuwapa akili nao? Alishindwa au hakutaka tu?

Ukizidi kuchunguza sana haya maswali, kwa nia ya kutafuta ukweli kabisa bila bias ya historia ya kuwa influenced na dini na culture, utagundua kwamba mungu anayeweza yote kujua yote na aliye na upendo usio ikomo hayupo.

Yaani hata wewe hujijui kama ni wewe?

Ninajua kuhusu mimi. Ninajua kuhusu chakula na kadhalika.

Kwanza unasema "Hakuna mtu yeyote anayejua chochote, kwishney." Halafu unakuja kusema kwa kufuata an acceptable margin of error unajua kuwa "mungu huyu mjua yote na mwenye upendo usio mwisho hayupo". Sasa hicho si chochote kaka? Heheheheee kauli zako mwenyewe zinakinzana!!! Duuh hii kali ya kufungia wiki.

Tayari kwa kutumia "kama" unaonyesha kutokuwa na uhakika. Huko siyo kujua au labda ndiko kujua kwa kufuata hiyo acceptable margin of error yako? Hivi kwanza ni ngapi, plus or minus?

Uhakika ni laana ya wapumbavu. Ujinga ni asali ya werevu.

God's Sovereign Choice

[SUP]6 [/SUP]It is not as though God's word had failed. For not all who are descended from Israel are Israel. [SUP]7 [/SUP]Nor because they are his descendants are they all Abraham's children. On the contrary, "It is through Isaac that your offspring will be reckoned."[SUP][b][/SUP] [SUP]8 [/SUP]In other words, it is not the children by physical descent who are God's children, but it is the children of the promise who are regarded as Abraham's offspring. [SUP]9 [/SUP]For this was how the promise was stated: "At the appointed time I will return, and Sarah will have a son."[SUP][c][/SUP]
[SUP]10 [/SUP]Not only that, but Rebekah's children were conceived at the same time by our father Isaac. [SUP]11 [/SUP]Yet, before the twins were born or had done anything good or bad-in order that God's purpose in election might stand: [SUP]12 [/SUP]not by works but by him who calls-she was told, "The older will serve the younger."[SUP][d][/SUP] [SUP]13 [/SUP]Just as it is written: "Jacob I loved, but Esau I hated."[SUP][e][/SUP]
[SUP]14 [/SUP]What then shall we say? Is God unjust? Not at all! [SUP]15 [/SUP]For he says to Moses,
"I will have mercy on whom I have mercy,
and I will have compassion on whom I have compassion."[SUP][f][/SUP]

[SUP]16 [/SUP]It does not, therefore, depend on human desire or effort, but on God's mercy. [SUP]17 [/SUP]For Scripture says to Pharaoh: "I raised you up for this very purpose, that I might display my power in you and that my name might be proclaimed in all the earth."[SUP][g][/SUP] [SUP]18 [/SUP]Therefore God has mercy on whom he wants to have mercy, and he hardens whom he wants to harden.
[SUP]19 [/SUP]One of you will say to me: "Then why does God still blame us? For who is able to resist his will?" [SUP]20 [/SUP]But who are you, a human being, to talk back to God? "Shall what is formed say to the one who formed it, ‘Why did you make me like this?'"[SUP][h][/SUP] [SUP]21 [/SUP]Does not the potter have the right to make out of the same lump of clay some pottery for special purposes and some for common use?
[SUP]22 [/SUP]What if God, although choosing to show his wrath and make his power known, bore with great patience the objects of his wrath-prepared for destruction? [SUP]23 [/SUP]What if he did this to make the riches of his glory known to the objects of his mercy, whom he prepared in advance for glory- [SUP]24 [/SUP]even us, whom he also called, not only from the Jews but also from the Gentiles? [SUP]25 [/SUP]As he says in Hosea:
"I will call them ‘my people' who are not my people;
and I will call her ‘my loved one' who is not my loved one,"[SUP][i][/SUP]

[SUP]26 [/SUP]and,
"In the very place where it was said to them,
‘You are not my people,'
there they will be called ‘children of the living God.'"[SUP][j][/SUP]

[SUP]27 [/SUP]Isaiah cries out concerning Israel:
"Though the number of the Israelites be like the sand by the sea,
only the remnant will be saved.
[SUP]28 [/SUP]For the Lord will carry out
his sentence on earth with speed and finality."[SUP][k][/SUP]

[SUP]29 [/SUP]It is just as Isaiah said previously:
"Unless the Lord Almighty
had left us descendants,
we would have become like Sodom,
we would have been like Gomorrah."[SUP][l][/SUP]

Naomba utoe link tu ya hilo gazeti, halafu uelezee walau kwa kifupi kwa maneno yako mwenyewe.

Purists wanaweza kukuvika plagiarism hapa.

Excessive copy and paste is not good. Hata nikijibu napata mashaka kama unaelewa au nitakuwa namjibu mtu ambaye hata hasomi JF.

Huyu jamaa hakumuamini Mungu JEHOVAH
Alimwamini yule rais wazamani wa ethopia kama mungu wake hiyo muziki wake ni ibada inayoelekezwa kwa haile selasi
zamani nilikua shabiki mkubwa sana wa bob lakini nilipo mpokea Yesu nikagundua kwamba bob alikua ni muabudu miungu

Rais wa Ethiopia?

Back
Top Bottom