TCU hatimaye Yatema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU hatimaye Yatema

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Janja PORI, Aug 11, 2011.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  wale vijana wenzagu na mimi mnaosubiri Tcu majina yapo nje nje bt bado kwenye internet myb leo au kesho Ka unataka tafuta mtu Pale Tcu akuangalizie au ni pm
   
 2. pepim

  pepim JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hey swaumu inakuzingua nini?Mbona haueleweki,nje nje halafu bado hayajawekwa bayana.........Kama hauna mada mpya,ni bora tu uwe mchangiaji.Umiza kichwa aiseeeee.
   
 3. W

  Willey ushaki Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama njenje mbona ss hatujayaona au una mtu tcu nn tugawie na ss hzo habar
   
 4. M

  Mushihiri Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama hayajatupiwa kwenye net,basi mambo hayajaiva vizuri
   
 5. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 9,824
  Likes Received: 2,434
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha nini kuwa wametema,mbona kitu empty
   
 6. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Utakuwa umelewa na c vinginevyo....
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  website yao ina buffer tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu hakuna kinachofunguka
   
 8. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  ifm tayari
   
 9. m

  mwamagunda Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndg wanajamii, Kuna tetesi kuwa eti Serikali walisitisha kutoa matokeo ya mchakato wa usajili ili kuwajumuisha watoto wa 'Vigogo' waliokuwa wakisoma 'Cambridge'. Binafsi inanisikitisha sana;

  1. Kwa nini hili halikufanyika mapema ili taratibu za uombaji ziweke wazi kuwa matokeo yatatoka kipindi fulani? Ni imani yangu kuwa suala la kuchelewa kuhitimu kwa hao wanafunzi wa Cambridge kulijulikana mapema kwa yeyote ambaye angehitaji.

  2. Katika 'website' ya TCU kuna ujumbe unaoonyesha kuwa matokeo 'yatatangazwa' katika mwezi Julai! Sijui hiyo Julai inayosemwa ni ya mwaka 2012!, au ipo kwa bahati mbaya! Ni muhimu watanzania tukajifunza sasa kuwajibika kwa wakati!

  3. Lipo tangazo la TCU linalotoa nafasi kwa waombaji ambao hawakuomba awali (naamin hawa ndiyo Cambridge, walengwa hasa wa tangazo na ucheleweshaji wa matokeo!) na wale walioomba awali wakakosa nafasi! Swali langu hapa ni Je, mtu atajuaje kuwa hakuchaguliwa, ili hali matokeo yenyewe hayajui? Imani yangu hapa ni kuwa huu ni mwendelezo wa 'USANII' wa serikali yetu(?). Na Je, 'usanii' huu ni kwa manufaa ya nani?

  4. Matokeo hayapo (hiki ni kipindi ambacho yalipaswa kuwepo, rejea Na. 2 hapo juu) wala hakuna tangazo jipya linalosema ni lini yatatoka! Je, usiri huu nao ni kwa manufaa ya nani?

  WITO
  1. Ikiwa ni busara, naomba tujadili suala hili kabla wanafunzi hawajagoma au CHADEMA kuandamana.
  2. Watumishi tuwajibike, japo hatujazoea!
  Mimi ni mtumishi wa serikali, nadhani ni busara kutambua kuwa watumishi tupo kwa ajili ya wananchi ambao ndiyo waajiri wetu! Tusipobadlika kuanzia sasa, tutabadilishwa na 'mafuriko' na gharama yake itakuwa kubwa na wala hatutaimudu kamwe!


  Nawatakia kila la kheri wale wote wanaosubiri matokeo kwa uchu, lakini zaidi nawapa pole wale watakaokosa nafasi kutokana na nafasi zao kuchukuliwa na 'Wanacambridge'
   
 10. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  <br />
  <br />
  ulevi noooma
   
 11. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  mambo!...
   
Loading...